Lazima Lowassa ashitakiwe kwa Ufisadi!!

PHD ZA UNAFIKI ZIMEJAA BAVICHA
Apelekwe tu kwenye hiyo mahakama ili angalau kuwe na kesi kuokoa zile fedha tulizotumia kupelekea wale majaji Lushoto kwenye ile semina elekezi yao!! Au unaonaje mzalendo mwenzangu?
 
Kama wana kesi na Ushahidi wa kutosha, Wangesubiri nini hadi leo kumkamata na Kumshitaki? Hamtumii akili zenu? Lowassa ameshaingia Upinzani kwahyo serikali hawana sababu yoyote ya kumlinda kwa sababu sio mwenzao tena, Kwanini Wamemuacha? Unazan wanamwogopa?Kwa lipi?? Fikiri kabla ya kupost, Nyambaf

Baada ya Tukuru chini ya uongozi wa Bwana Hoseah kuchunguza kesi ya Lowassa, inasemekana alielekezwa na Rais mstaafu kuachana nayo na kuwa Lowassa hana kosa, ingawaje Wananchi wa Tanzania walipoteza mabillion kwenye hii dili. Bwana Hosea mwenyewe kwenye mtandao wa siri za Marekani, alimwelezea Balozi wa Marekani ya kuwa ameambiwa asichunguze hizi kesi kubwa za ufisadi aachane nazo. Ingawaja kulikuwa na ushahidi mkubwa dili ya ufisadi imetendeka, kama dili nyingi chini ya uongozi uliopita, watu walikuwa hawashitakiwi, siyo Lowassa peke yake, wako wengi wanawatapikia masikini kwa kkushiba pesa walizowaibia.

Bwana Hoseah alikuwa yupo tu kama picha, hakuweza kutowa amri yoyote kwa mutu kushitakiwa. Kumbuka wakati Lowassa anapiga campain zake, hilo ndilo ni swala kubwa likitumiwa na CCM ikiwa pamoja na baadhi ya wananchi wa Tanzania. Lowassa alijitetea akasema, alimueleza Rais msaafu ya kuwa kumenuka, hii dili ya Richmond imegundulika tuache, kufuatana na Lowassa mwenyewe kwenye campain aliambiwa na Rais Mstaafu, aendele nayo tu Watanzania watasahau. Hata kama Rais wa sasa ambaye ameonyesha moyo mkubwa wa kupigana na mafisadi, kumshitaki Lowassa mpaka Rais Mstaafu na yeye ashitakiwe, huwezi kumu - convict Lowassa bila Rais mstaafa. kwasababy dili hii ilikuwa siyo ya Lowassa peke yake iikuwa ya wote. Na kumushitaki Rais mstaafu lazima katiba ibadilishwe. Natumaini jibu langu limekuelemisha.
 
Umeeleweka.
 
Sasa kama ni fisadi na ushaidi upo si watu wanasubiri waone mahakama itafanya nini..
 
Hayo umesema wewe , lakini waziri wa sheria na Mwenyekiti wa Tume ya bunge ya kuchunguza Richmond amerudia mara nyingi kwamba mhusika ni Lowassa , tunamtaka lowassa mahakamani haraka sana .
 
Kusema ni sawa lakini kesi ikifika mahakamani lazima isikilizwe under oath, ushahidi nikaoutowa ni kweli TUMUSHUKURU eye MUNGU nisaidie, na shaidi wa kwanza lazima awe Kikwete hapo ndipo itakuwa kazi. Ukiifungua chupa jini akitoka kwenye chupa kumrudisha itakuwa kazi.
 
Nionacho mimi Ccm hawataki lowassa apelekwe mahakamani,wao wanataka tu wimbo uendelee wa fisadi fisadi
kama Lowassa hatokwenda mahakamani , sijui CCM watatumia Lugha gani ktuaminisha Lowassa ni Fisadi 2020.

watakuwa wamemsafisha bila wenyewe kujua
 
Naunga mkono Lowassa apandishwe mahakamani ili kukata mzizi wa fitna.

Hii itasaidia hizi Porojo za kumuita LOWASSA fisadi zifikie kikomo.
 
Ni heshima kwa Mungu kumzomea fisadi Lowasa ------Lema

Anayemuunga mkono fisadi Lowasa akapimwe akili ------Msigwa
 
Back
Top Bottom