Lazima kuwe na Shida ndo Maisha yaende! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lazima kuwe na Shida ndo Maisha yaende!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mtanzanika, Mar 15, 2012.

 1. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,208
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Matatizo Duniani hapa hayawezi kuisha kwa style hii!
  Polisi njaa wanaomba uhalifu uongezeke ili wale Rushwa,
  Wanasheria wanaomba kesi ziwe nyingi ili wavune pesa,
  Madaktari nao wanataka wagonjwa waendelee kuwepo wanufaike,
  Wauza Majeneza …..hapa ndo hakuna haja ya kusema kitu,
  Kama wapo wengine ongezea!!!
   
Loading...