lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,965
Inawezekana kweli! Ila mimi naona ni tatizo la kisaikolojia.Mkuu
mim nadhan inatokana na kudekezwa, ni sawa wale wanaopenda kunyonya vidole, muda wote mkono upo mdomoni.
Mtoto mwenye tabia hzo hasipokemewa utotoni, anaendelea na tabia hiyo hadi ukubwani