Lazima heshima irudi

Ni ajabu sana kuona mwanamke unashindwa kuuthamini mwili wako kiasi hicho badala yake unauthamini mwili wa mpenz wako. Yaani yeye kujidhalilisha kwa rafiki yako umeona ni kosa kubwa la wewe kuamua kujilaani kwa baba yake, kweli kwa mtindo huu utu na thamani ya mtu haipo. Usipotambua thamani yako hakika hakuna atakayeitambua, kuwa chachu ya kuleta badiliko chanya katika mahusiano na jamii kwa ujumla, maisha siyo mapenz japo mapenz ni sehemu ya maisha. Mungu anakuona na kwa hili utajuta ipo siku.
 
Hapo mpo wanne. Wewe, mpenzi wako , rafiki yako aliyetembea na mpenzi wako pamoja na baba wa mpenzi wako.

Unaukumbuka ule utafiti? Lazima hapo mmoja ni kichaa , chunguza vizuri.
 
Na. Akitaka GOti mpe ili umkomoe zaidi safi sana kwa UAMUZI nzuri bi dada
 
Chonde Chonde JF irudishe heshima, hii nini sasa? Ukiukaji wa maadili usio na heshima, matusi yasiyofaa, ni nini anachotaka kumpa huyu mzee? Mbona kafupisha? Hata akifupisha, akili ya kawaida tu, inaelewa, na kuleta kichefuchefu. Threads za mtindo huu, hazifai JF.
 
Sio wanawake wote, wapo wengi wana akili mara nyingi ya huyu, lakini huyu, anatisha, na hafai, haya aliyopanga, hayafai hata kuyafikiria, wacha kuyaandika, kuyapanga na hatimaye kuyatekekeza.
HUYU MTU ANATISHA !
 
Pambafu! Unataka kumuingiza mzee kwenye ujinga wenu?
Mpe K huyo mzee halafu upige kimya, kusudi lako si litakuwa limetimia?
 
Mungu ...Mungu naskia umemtuma.mtu akafanye ushetan na bab mkwe .wake.

Munhu yupiiiii?jamniii
Hawezi kutumwa na mungu akafanye ushetani, kutumwa na shetani mwenyewe, akamfanyie kazi yake.
TUMUOMBEE MUNGU AMUONGOZE KWENYE NJIA ILIYONYOKA
 
Kumbe ndiyo maana siku hizi kutongoza imekuwa kazi rahisi sana
 
hahahaa eti MUNGU alivyomwema ukakutana na babake jamaa ukampa K.....yaan huo ndio wema wa Mungu!!!!
 
we kinakuuma nini fanya na wewe ukiwe
no hainiumi kitu dada just being open minded wala hainihusu just speak my mind coz in the end kila mtu ana na ni wajibu wa mtu binafsi kujitambua na kufanya mabaliko positive about yeye
 
Acha kumsema Ndalichako
 
Utajiskiaje ukiskia Na yy kaamua kupunguza machungu kwa kumgegeda mama yako mzazi?
 
ukimaliza kwa baba yake njoo na kwangu kumkomoa vinzuri uyo ex wako...
 
Kumtumia picha ya babake akiwa mtupu sio akili na ni ujinga uliopitiliza dadangu,assume na wewe unakuta picha ya babako au mamako akiwa mtupu,utajisikiaje?
Tufanye yote tunayoyaweza ila tuiweke heshima mana ndio itakayotulinda katika maisha yetu yote
 
Hapo unajikomoa mwenyewe na kujishusha hadhi na kuwa malaya asiye na staha....
Basi kama kisasi chako unaona ni cha maana kambebee kabisa mimba huyo mzee ili jamaa akukome na akuite mama, kisha na ka HIV ka huyo mzee (mwinda vibinti mitandaoni) nako ukachukue kaendelee kukifariji.
 
Sasa na mimi kaka yake mkubwa unaniachaachaje? Huyo dogo lazima tumkomeshe. Emb maliza kwa dingi kisha niibukie fasta tuendelee kukakomesha hako ka dubwana koko!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…