Lazima CCM waondoke, Lazima mabadiliko yaje

Augustine Moshi

JF-Expert Member
Apr 22, 2006
2,554
1,382
Can you imagine CCM ruling Tanzania for another five years? I get goose bumps when I try to do that.

Yaani tuendelee na hali hii kwa miaka mitano zaidi? Yaani hali ya wizi mkubwa wa fedha za umma kila baada ya siku chache, mauaji ya ndugu zetu albino, chuki na hata mauaji ya kidini viendelee?

Haiwezekani tuendeee na hali tuliyonayo sasa. Lazima mabadiliko yaje. Hata viongozi wengi wa CCM wanalijua hili. Wanaogopa kutoka CCM kwani wanakifahamu vizuri chama chao. Wanaogopa kuuwawa. Ni waoga.
 
Mkuu yawezekana kabisa pasipo shaka upo kwenye kile kikundi cha kuteka watu huko kwenye chadema yenu.
 
Can you imagine CCM ruling Tanzania for another five years? I get goose bumps when I try to do that.

Yaani tuendelee na hali hii kwa miaka mitano zaidi? Yaani hali ya wizi mkubwa wa fedha za umma kila baada ya siku chache, mauaji ya ndugu zetu albino, chuki na hata mauaji ya kidini viendelee?

Haiwezekani tuendeee na hali tuliyonayo sasa. Lazima mabadiliko yaje. Hata viongozi wengi wa CCM wanalijua hili. Wanaogopa kutoka CCM kwani wanakifahamu vizuri chama chao. Wanaogopa kuuwawa. Ni waoga.

Sijaona mkakati wa UKAWA kuchukua kushika dola zaidi ya kushambuliwa kwa CHADEMA kuwa wanaua vyama vingine. kama kasi ya CHADEMA waliyonayo sasa ingefanywa pia na vyama vingine vinavyounda UKAWA ingekuwa vyema.
 
Afadhali kwa kutambua kuwa CCM itaendelea kukaa madarakani siyo tu kwa miaka mitano ijayo yaani hadi miaka 100 ijayo!

Tunashukuru sana kwa kuona kuwa UKAWA hawana mipango madhubuti Ya kushinda Urais na kamwe hawataweza!
 
Tutafanya kazi kwa bidii kulinda kura kwa sababu asilimia kubwa ya watanzania wamekataa tamaa na ccm hakuna
mtu anayemaini kuwa ccm inaweza kuondoa ugonjwa mbaya wa ufisadi ambao nchi imekuwa ikiumwa kwa muda mrefu kwa hivi sasa. walivyokuwa wamepigwa upofu wanathubutu hata kumfikiria king wa ufisadi wa richmond awe fisadi in cheif ni maajabu na kweli watu wale wale waliomfukuza kuwa waziri mkuu leo wanataka kutuaminisha kuwa anafaa kuwa Rais ni maajabu na kweli
 
Sijaona mkakati wa UKAWA kuchukua kushika dola zaidi ya kushambuliwa kwa CHADEMA kuwa wanaua vyama vingine. kama kasi ya CHADEMA waliyonayo sasa ingefanywa pia na vyama vingine vinavyounda UKAWA ingekuwa vyema.

Chadema, NCCR Mageuzi, CUF na NLD wamekwisha kuweka mikakati ya kugawa majimbo. Subiri kishindo utekelezaji ukianza. Nawashauri waweke mfuko wa pamoja wa kuwasaidia wanachama wenye sifa wajitokeze kugombea udiwani,ubunge na urais. Waache ubinafsi. Kwa ujumla wetu ccm tutaishinda kama kusukuma mlevi.
 
Kugawa majimbo pekee hakutoshi kama huna watu wa kukupigia kura.
 
Can you imagine CCM ruling Tanzania for another five years? I get goose bumps when I try to do that.

Yaani tuendelee na hali hii kwa miaka mitano zaidi? Yaani hali ya wizi mkubwa wa fedha za umma kila baada ya siku chache, mauaji ya ndugu zetu albino, chuki na hata mauaji ya kidini viendelee?

Haiwezekani tuendeee na hali tuliyonayo sasa. Lazima mabadiliko yaje. Hata viongozi wengi wa CCM wanalijua hili. Wanaogopa kutoka CCM kwani wanakifahamu vizuri chama chao. Wanaogopa kuuwawa. Ni waoga.

Hizi Porojo zenu tumeshazizoea, CCM bado itaendelea kuwepo sana.
 
CCM itaondoka madarakani hata kama hakungekuwa na vyama vingine! Kitang'olewa na wananchi kama zilivyong'olewa tawala dhalimu za Papa Doc wa Haiti (na JK anaishi kama huyu), Ferdinand Marcos wa Philippines na Shah Reza Pahlavi wa Iran. Ni wananchi tu walisema imetosha na ikatosha kweli.

Kwa Tanzania, imetosha sana. Aidha Chadema itawaweka CCM benchi kwa amani na utulivu, na kama wananchi wakiona hilo haliwezekani basi watajitokeza wawatimulie mbali hao wabaya wao.

Enough of CCM.
 
Talking a lot while doing nothing it won't help the cause! Smell the coffee bra!
 
Back
Top Bottom