Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 898
wewe ndio yule "kijana msomi aliyerudi kutoka Uingereza"?
who is this guy??
Kila kitu ya Mhe. huyu ilishabandikwa humu, just search and you'll find majibu ya maswali yako karibu yote.Naomba Profile ya Private na Public ya huyu jamaa
lets just say he has a SLUSH FUND ya kutisha for 2015 kiasi cha kwamba hata waliopokea pesa za Ghadafi wanajiuliza watamcontain vipi?
kama primaries za mwaka jana zilitumia pesa kuliko secondary tena in the wake of kashfa za ufisadi then that should tell you alot about who has the potential for 2015 na huyu kijana tayari keshaanza
so tunawa profile mapemaaa
Kila kitu ya Mhe. huyu ilishabandikwa humu, just search and you'll find majibu ya maswali yako karibu yote.
Nimependa jinsi ili construct maswali yako, ni typcal reseach type na jamaa zetu wa sehemu wakikunote vizuri, within no time utalamba dume ili wakutumie wakati wakifanya vetting.
Ungekuwa mwandishi habari, ungefiti sana kwenye 'investigative journalism.
Pasco.
ahhh wapi mambo hayo waachie vijana ambao wanaanza maisha na waliosoma sie wengine si unajua shule ilitupitia kushoto?Kila kitu ya Mhe. huyu ilishabandikwa humu, just search and you'll find majibu ya maswali yako karibu yote.
Nimependa jinsi ili construct maswali yako, ni typcal reseach type na jamaa zetu wa sehemu wakikunote vizuri, within no time utalamba dume ili wakutumie wakati wakifanya vetting.
Ungekuwa mwandishi habari, ungefiti sana kwenye 'investigative journalism.
Pasco.
Kila kitu ya Mhe. huyu ilishabandikwa humu, just search and you'll find majibu ya maswali yako karibu yote.
Nimependa jinsi ili construct maswali yako, ni typcal reseach type na jamaa zetu wa sehemu wakikunote vizuri, within no time utalamba dume ili wakutumie wakati wakifanya vetting.
Ungekuwa mwandishi habari, ungefiti sana kwenye 'investigative journalism.
Pasco.
NE hivi we ni mgeni JF?Majukwaa si unayafahamu vizuri mamaa?