Lazaro Nyalandu: Ni mchapakazi sana, au ni media coverage?

@Phillemon Mikael, ahsante sana kwa salamu kutoka kwa Bashe.

Kuhusu suala la Uraia, hilo ni la kisheria na lilishaisha. Bora mimi niliyefanyiwa uchunguzi na kuthibitishwa kuwa ni Mtanzania halisi nisiye na shaka, kwangu hilo limeisha for good...sijui kama na wewe ulishafanyiwa uchunguzi au bado, maanake kama bado ujue hatuna uhakika na uraia wako! Pengine wewe ni msomali, au Mkenya sijui ni Taifa gani? Na kuna siku ukigombea tu watu wataibuka na hiyo kashfa yako ya Uraia...

.umeona eeh..siunaona sasa hivi kila siku yupo jimboni kwako..sio siri wanasema upo pale kumshikia tu...!!..hivi salata la uraia wa Bashe Halijaisha ...hajawa cleared ...???

.....Kweli Dr Hamis kama kweli anao mpango wa kugombea Nzega mwaka 2015 ..ni bora akahakikisha amekuwa cleared ...if ni kweli hajawa cleared!!!....nadhani ishu yako inafanana na yule mbunge wa biharamulo...aliechukuaga nafasi ya yule mbunge wa TLP....walisema ni Muganda....
Pamoja na hayo ishu ya mtu kuhisiwa tu kuwa sio raia hata kwa kusingiziwa huwa ni kama political suicide mbaya kabisa inayoweza ku ruin political career ya mwanasiasa yeyote ...utapata nafasi zote ikiwemo uwaziri lakini kuhisiwa tu..kunatosha kukufanya usipate baadhi ya nafasi za juu kiuongozi.......that happened to Abrahman Kinana beside the fact that he has done a lot for his party ...tukio la wale wazee wa Arusha kusema kuwa baba yake hakuwa raia na yeye alikuja Arusha akiwa mdogo ......lilimfanya aondoke kwenye nafasi za wazi za kiasiasa na akabaki kuwa Kiing maker...but i tell you Kinana could be more than that!!!...So Dr ...usiseme imeisha you have to go deep kujuwa hao waliokusingizia wana lengo gani...na ikibidi uwaumbue.....
 
@Matola, ninaamini wewe ni mtu mwenye upeo mkubwa sana wa kuelewa mambo na sikutegemei kwa kuwa una itikadi tofauti ya chama na ya kisiasa basi ndo uwe unawatukana wanaotofautiana na wewe na hata taasisi nyingine ambazo zipo kisheria, zinafanya kazi nzuri na zaidi pengine hata hujui zinafanya nini! WAMA ni taasisi inayotoa misaada tu kwa akinamama na watoto wa Tanzania na haina chembe ya utapeli, wewe nikikuuliza una taarifa gani ya utapeli wa WAMA utakuwa hauna...basi tu kwa kuwa ina uhusiano na mke wa kiongozi wa CCM, na wewe huipendi CCM basi ushaitukana na kuipa majina...its not fair na wala tabia za aina hiyo haziendani na watu wenye weledi!

Pili nilishawahi kupambanua kuhusu mahusiano yangu na WAMA na ulichokiandika hapa wala siyo...uwe unasoma threads au unafanya utafiti kabla haujakurupuka tu n issues...

Umejibu vizuri sana hili.....
 
Hizi taarifa zinachanganya sana, maana pia kuna taarifa kuwa ni bwabwa, na kuwa na wanawake muda wote cover sasa ngoja nirudi polini tena kusaka data.
 
[B said:
Originally Posted by Mwawad[/B]o]
Kwangu mimi namchukulia Lazaro Nyalandu kama ni kiongozi mzuri ukilinganisha na viongozi wengi waliopo katika serikali yetu.Kama binadamu wengine,Hon.Nyalandu hajakamilika ana mapungufu mengi,lakini bado ni mtu mwenye mapenzi na Nchi yake na kama akipata muongozo mzuri ni kiongozi mzuri...kwa sasa na siku za baadaye kwa maana ya kwamba ni msikilizaji,mbunifu na mpenda kujifunza mambo mapya.

Hon.Nyalandu hana Elimu ya shahada kama inavyojulikana na wengi,alisoma elimu ya sekondari O'Level Kibaha (Pwani) na baadaye kwenda Ilboru (Arusha) kwa elimu ya A'Level,baada ya kumaliza elimu ya sekondari alikwepa kwenda Jeshini (JKT) na kujikita katika mambo ya UKWATA ambako alifikia level ya kuwa mwenyekiti wa Ukwata Tanzania.Kipindi hicho Lazaro alijihusisha na Viongozi wengi na watu wengi mashuhuri wa mji wa Dar-es-salaam na kufanikiwa kupata contact ya kupeleka wanafunzi USA kwa njia za makanisa,wanafunzi hao wengi walikwenda kwenye majimbo ya Michigan,Minnesota na Iowa.Alikuwa mmoja kati ya watu wengi waliokuwa wanatafuta I-20 katika vyuo vya Marekani na kuziuza kwa Vijana wengi waliokuwa wanamaliza shule na kukosa nafasi za vyuo vikuu nyumbani.Katika kufanya zoezi hilo alifanikiwa kuwapatia watoto wengi wa Viongozi serikali I-20,kwani watoto wa wakulima (Walalahoi) hawakuweza kumudu kununua I-20 hizo.Kwa kufanya hivyo aliweza kupata contacts za Wazee wa watoto hao na kuangukia kumfahamu Mama Mkapa kwani baadhi ya ndugu wa Mama huyo walipata Vyuo USA kwa kupitia Lazaro.Kwa mtu yeyote mwenye umri mkubwa na anayejali maadili ya Kitanzania akikutana na Lazaro atampenda.Ni mnyenyekevu,msikivu na mwenye haiba ya kuvutia.

Hon.Nyalandu baada ya kushughulika na I-20 kwa muda mrefu nae alikwenda Marekani kwa ajili ya masomo ya shahada yake,kama walivyo Watanzania aliowapatia I-20,Nyalandu alikwenda katika Jimbo la Iowa mji uitwao Forest City na alisoma Chuo kiitwacho Waldorf,Chuo hicho kilisoma Watanzania wengi na wengi waliendeleza kujishughulisha na maswala ya dini na masomo,hali hiyo iliwavutia walimu na watu wengi waliosoma katika chuo hicho.Hon.Nyalandu kwa kutumia uwezo wake,na uwezo wa kuleta wanafunzi wengi katika chuo hicho,alimuunganisha Mama Mkapa na Utawala wa Chuo na Mama huyo kupatiwa Shahada ya Heshima katika Chuo hicho.Hon.Nyalandu aliendelea kuunganisha watu wa Iowa na Asasi binafsi mbalimbali za maendeleo Tanzania na haswa Singida.Kwa kutumia Dini na kujulikana Nyalandu aliweza kushiriki katika NGO inayoitwa Books of Africa ambayo ilikuwa inakusanya vitabu mbalimbali vilivyotumika katika majimbo ya Iowa na Minnesota na kuvipeleka Afrika (Tanzania) haswa Kilimanjaro na Singida.Mama Mkapa,Nyalandu na baadhi ya ndugu wa Mama Mkapa kwa vipindi tofauti wamewahi kuwa Board Members katika Books of Africa.

Mheshimiwa Nyalandu hakumaliza shule yake huko Waldorf na inasemekana pia alikuwa na kesi ya kumbaka mwanafunzi wa Kike wa Zimbabwe alipokuwa anasoma huko,lakini si kweli kwamba amezuiwa kuingia Marekani,alikuja Marekani mara ya mwisho 2009 kuhudhuria harusi ya ndugu yake ambaye anaishi Minneapolis,Minnesota.

Si kweli kwamba Hon.Nyalandu amewekwa na watu wa Marekani ktk Uongozi wa juu katika Tanzania,Nyalandu amefanikiwa kupata Ubunge kwa juhudi binafsi za Mama Mkapa ambaye amefanya nae kazi kama katibu wake na anamchukulia kama mtoto wake,pia ameishi kwa karibu na watoto wa Mama Mkapa na ndugu zake ambao walisoma Minneapolis huko Minnesota.Kwa kupitia NGO's na Waldorf College Hon.Nyalandu anafahamiana na Senators Chuck Grassley kutoka Iowa na Norm Coleman kutoka Minnesota,Rais na Mwalimu wa Chuo kikuu cha St.Thomas Minnesota Father Dennis Dease pia ni mtu wa karibu na Hon.Nyalandu,ikumbukwe kuwa Rais Kikwete 2009 alikwenda St.Thomas kutunukiwa shahada juhudi hizo na nyingine zinatokana na watu kama Nyalandu.Kwa maana hiyo si taabu kwa Mh.Nyalandu kupata viza au kwenda Ubalozi wa Marekani Tanzania kwa ajili ya kupata information mbalimbali kutoka USA.

Umaarufu wa Nyalandu unaongezwa na kumuoa Faraja Kota (Former Miss Tanzania).Mzazi wa Faraja (Baba) ambaye ni marehemu amewahi kuwa mtumishi aliyetukuka katika Jeshi la wananchi wa Tanzania (Brigedia Jenerali mstaafu William Kota).Wazazi wote wawili wa Faraja ni marehemu.

Nyalandu alikuwa mmoja kati ya Wabunge wachache waliokataa kwa nguvu zote kuujadili mjadala wa mahakama ya Kadhi Bungeni,pia mwaka jana alisimamia kidete kutokuiruhusu serikali kuiruhusu Zanzibar kuingia ktk Jumuiya ya Nchi za kiislamu (OIC).Pamoja na mambo mengine ya udhaifu wa kibinadamu wa kupenda sifa na kupenda mabinti,bado Lazaro namchukulia kuwa ni kiongozi mzuri kuliko viongozi wengi katika Cabinet tuliyonayo.Tumjadili kwa utendaji kazi wake,na punde akivuruga tuseme madhambi yake kama ilivyokuwa kwa Masha.


Then as a politician he is not as smart as I thought he was

Kwa mtu ambaye ni ambitious hapo nilipoweka nyekundu inamaana kuwa kuna kuna constituency kubwa ambayo wakiambiwa tuu msimamo wake huyu bas....kwa hiyo kwenye mbio za kuelekea 2015 scores ni:

bwana MEMBE 1 NYALANDU 0

why? Membe is a typical politician PLUS intelligence officer ambaye anajua rule of the game ni DECEPTION ndio maana one hand anawaleta John Hopkins, Makanisa na misaada yao at the same time arudi kwa waislama anaawaambia "msiwasikilize WAGALA, wala msiwe na wasi OIC mtapata na Mahakama ya kadhi nayo mtapata...."

kaaazi kweli kweli
 
Who is Nyalandu by the way in this Bongo country?He is nothing! He pretends to be smart,he is not,just one of the bogus Ministers in JK's Cabinet. I remember recently when he visited Kariakoo Market. On his visitation he threatened the Chinese businessmen that they gonna be repatriated simply because they cheated the Tanzania Government that they were investors while they are not. Most of Chinese businessmen used to sale fake products from China as well as karanga!!!

His threat to those Chinese businessmen was just a media coverage! To date nothing have been implemented as per his instructions! In conclusion I can say say that he is not fit for the post of Deputy Minister for Trade and Indutries!
 
Nyalandu ni msanii, tapeli na fisadi mkubwa tu.Anajipendekeza kwa watu akiona kuna ulaji kama alivyofanya kwa Anna Mkapa. Alipitia ndugu wakaribu kujipendekeza kwa huyo mama mpaka akafanikiwa.Ailtapeli watoto wengi wakike eti anawapeleka summer camp huko Arusha.anajipenda sana,:angry: anauza sura tu.
 
Hana cha uchapakazi ni kwamba hakuamini kupata uwaziri. amekuwa akisubiri uwaziri miaka yote hivyo anajitahidi kumu impress Mkwere. Anajitia mlokole lakini hakuna kitu ni malaya kwanza alimdanganya mtoto wa mchungaji Haule wa Arusha kwamba atamuoa lakini wapi. Binti alikuwa anafanya kazi Zain Arusha. Currently ni board member wa TANAPA na AICC. Anapenda sana pesa huyu kijana.

Ni kweli kabisa, jamaa alimuahidi pia kumuoa mtoto wa Brig. Jen. Kisinda ambaye sasa hivi ni hakimu wakati huo mtoto wa watu alikuwa anasoma sheria Tumaini Iringa lakini akamtosa mbayaa baada ya kumpata Faraja Kota. Ila kwa uchapa kazi jamaa ni noma, anapiga sana mzigo hapo lazima tuseme. Ufisadi mmmhhhhhh inawezekana, uongozi inadaiwa anajiandalia mazingira ya uwaziri mkuu 2015, Pesa anayo ya nguvu wala si ya kitoto.
 
Ni kweli kabisa, jamaa alimuahidi pia kumuoa mtoto wa Brig. Jen. Kisinda ambaye sasa hivi ni hakimu wakati huo mtoto wa watu alikuwa anasoma sheria Tumaini Iringa lakini akamtosa mbayaa baada ya kumpata Faraja Kota. Ila kwa uchapa kazi jamaa ni noma, anapiga sana mzigo hapo lazima tuseme. Ufisadi mmmhhhhhh inawezekana, uongozi inadaiwa anajiandalia mazingira ya uwaziri mkuu 2015, Pesa anayo ya nguvu wala si ya kitoto.

Kwa kumbu kumbu yako Mkuu ebu twambie Waziri mkuu aliyewai kuokotwa nje ya System hajui hata Serikali inafanya vipi kazi zake tokea umewai kuifahamu Tanzania ni yupi?
 
Duh jamani, na mimi nipo tena hapa...kwa CHE NKAPA...too paranoic, my brothers and sisters...

Angalia comment ya Mbunge wa Tanzania!

Ukizoea kufuatilia siasa za kwingine, ma US Senators walivyo serious na kila kinachowatoka mdomoni ukaja kuona watu kama huyu Kigwangalangala anaandika viji comment ridiculous ridiculous kama hicho yani unaona tulivyo mbali. Utadhani Mpoki wa Ze Comedy.
 
Ukisoma kwa makini utaona mengi ya yaliyoandikwa ni majungu tu.Mwingine anasema Nyalandu ana mawasiliano ya moja kwa moja na ma senators wengi wa Marekani,mpaka wabunge wenzake wanamshangaaa,maana si kawaida.Na tena anaweza kwenda ubalozi wa Marekani muda wowote anaoutaka.Eti ni mtu wamarekani,anayetumikia maslahi ya Marekani.
Wakati wengine wanasema,Nyalandu ni wanted huko Marekani,na hawezi kutia mguu wake.Sasa which is which?Halafu unajiita msomi wa Masters wakati ni mpika mijungu tuu,no wonder mnapewa contacts famba
Tuache wivu wabongo,Tujitume

Mengi ya ukweli, Lazaro a.k.a Askofu nimemjulia USA, huyu jamaa alikua na mawasiliano ya karibu na ma seneters ,hiyo na uhakika nalo na alikau ana alikwa mara kwa mara kuja kwenye mikutano USA na hao ma senetors.

Kilicho mrudisha TZ sio Kubaka, Lazaro alikua hawezi kumbaka mwanamke, wao wanawake ndio walikua wanajilengesha wenyewe, Jamaa alikua handsome na maneno matamu halafu mlokole feki , hapo walijipanga mstari wenyewe, haswa mademu wa Arusha ,alio kua ana wafanyia dili la kuja USA kwa kupitia zile scholarship fake .

Nirudie kilicho mrudisha huyu Mheshimiwa nyumbani TZ ni usanii wa kuwaliza wa Cameroon ,kwa kuwahaidi kuwapatia VISa za USA, jamaa alitoka baruti na pesa zao na kuja Bongo kuanzisha kampeni ya Ubunge.Kwa muda fulani alikua Wanted na FBI , iliy sababisha mdogo wake kukamatwa kwa kosa la ku gushi Social security Number wakidhani bado anaishi na Lazaro nyumba moja.
 
He is ok politician lakini he's not yet convinced me.

Ukitaka kujua kama naye hana hao ma "SPECIAL ADVISOR'S" kama wajanja wenzie asingekuwa BLUNT on controversial matters kama za Zanzibar/OIC/Kadhi na Muungano na more importantly kama angekuwa strategic thinker hiyo ya WACHINA wa Kariakoo angemtupia bosi wake abwabwaje...in other words alitakiwa akikeep low profile kwenye mambo controversial halafu yale ya ki populist ambayo yanawahusu raia moja kwa moja ndio ambayo alitakiwa ajihusishe nayo.

Kwa mtu ambaye anafikiria 2015 alibugi step na it shows kuwa kazungukwa na watu sio ambao itakuwa akikaa wanampa "YES MINISTER"

 
Ni kiongozi wa serikali ambaye haruhusiwi kuingia US. Vyombo vya habari mna wajibu wa kuielimisha jamii, ni kwa nini kazuiwa kuingia US? ahhaha hahaha ana RB ya US. Vyombo vya habari, muulizeni kwa nini hatakiwi kukanyaga kwa Obama?

wewe Haruhusiwi kuingia us na mungine anasema ni chaguo la wamarekani hao hao na anaingia corridor yeyote pale us embassy msasani bila kuulizwa na mtu...which is which?
 
DSC03959.jpg
 
Umesahau kitu, alikua anapenda sana ngoma,kwaya na kua karubu na walimu, uwezo wake darasani aukua mzuri, social activities alikua mzuri.Nilikua kibaha o level na A level darasa moja nyuma yake.Jamaa angefit sana wizara ya utamaduni
....hahaaaa....nilikuwa naye darasa moja kibaha school.....tulikuwa tu streams tofauti, yeye alikuwa stream B...alikuwa anakaa Kibo House...
 
Back
Top Bottom