KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,153
wabongo bwana kwa sarakasi za maneno...!Mimi sikujua kama alikuwa hatakiwi marekani mkuu,asante kwa taarifa,ila la muhimu naona anadhihirisha kuwa wamarekani wanataka awe rais,si ajabu anaenda kuweka mambo sawa na kuingia mikataba ya awali,tukumbuke mikataba ya carl peters.
wabongo bwana kwa sarakasi za maneno...!
Romantic si sarakasi za maneno,mtoa hoja ameamua kutoa mipasho badala ya taarifa,kwa hivyo anatakiwa kujibiwa kadri alivyoandika.
kwanini bwana mkubwa?labda ungependa iandikwaje ndio ikufurahishe wewe labda na familia yako?Sina uhakika kama post hii imeandikwa na mtu mwenye akili timamu, au wewe ndio nyalandu?
hata akitembelea mbinguni urais 2015 hapati.
Wiki ijayo vikao vya bunge vinaanza dodoma na yeye ni mbunge anayetakiwa kuwakilisha jimbo lake, kwa nin hakuenda uko wakti hayuko bungeni?
Jamaa kaleta habari ki-mbea mbea ile mbaya...yaani avatar yake na hoja yake vinafanana kabisa..jamaa anajihita THE ROMANTIC yaani akimaanisha yeye ni mtu wa ngono ngono,wanawake wanawake,mapenzi mapenzi kwa hiyo hata hii habri yake anamsifia mwanaume mwenzake kwa kusema kama vile huyu Lazaro hana mke wa kumsemea....
mtoa hoja ndio romantic mwenyewe,mzee naona umedandia tu treni bahati mbaya,hii kitu imetokana na hoja za watu katika thread moja ikimhusu mheshimiwa huyu,watu walidai kwamba jamaa haruhusiwi kukanyaga marekani,ndio maana nikaamua ku dedicate muda wangu kuwakaza kitako kuwajuza kwamba hapana,walikua wanatudanya,ukweli ndio huu,anatinga kwa obama next week!sasa wanaanza kugeuza maneno eti anakwenda kuchukua hela za kampeni kwa kuwa wanamtaka awe rais wa tanzania!ndio sarakasi zenyewe hizo za maneno.Nataka waje waombe radhi kwa kulidanganya jukwaa tukufu la siasa!
Nimekupata mkuu,ila na suala la marekani kumtaka awe rais aliwezi kutenganishwa,tatizo thread imekaa kimipasho zaidi.