Lazaro Nyalandu awaponda wana-CHADEMA kuwa waoga hata kuvaa magwanda

Uwezo wa Chadema umeishia kulalama?
Kwa hiyo unataka niwe mashauri wao.



Ile nguvu ya umma imeishia wapi?

Hivi unajua JPM pamoja na kuogopwa kote kama tunavyoaminishwa si chochote KWA NGUVU YA UMMA?

Unajua UMMA ukiamua kumwondoa Jpm madarakani hakuna atakaye pinga hata Jeshi letu lifanye nini?


Sasa waambie Chadema kipindi cha kujifanya malaika kimekwisha.

Wahakikishe wanahubiri Demokrasia na wanaiishi Demokrasia kila lililojificha muda hufichua.


Watuletee ZITTO MWINGINE DR.SLAA MWINGINE MNYIKA MWINGINE.

Kisha wahubiri nguvu ya umma popote pale wanapopita.

Matokeo watayaona wala viongoz hawatakuwa na haja kutumia nguvu hata CCM watumie pesa ni kazi bure.


KUFICHA UBOVU WENU huku mkihubiri UBOVU WA CCM hata siye maamuna tunawacheka tu.

Kumbuka wapiga kura hawapo JF tu hapa.

OFISI ZA CHAMA VIPI mikoani na wilayani na katika kataa CCM IMEKATAA MSIJENGE? AU ndio ipo hapa jf?

Au tangu Chama kianzishwe Ruzuku kazi yaake ni kwa ajiri ya maandalizi ya kupigia kura tu?

Au Chama bado kichanga?


Hakuna anaelia lia. Ulitataka CHADEMA wafanye nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom