Lazaro Nyalandu awaponda wana-CHADEMA kuwa waoga hata kuvaa magwanda

Ila kweli,ccm imebadilika!Sasa wanasajili wanasiasa kwa gharama ya walipa kodi!Sasa wanachama hawana haki ya kupiga kura ya maoni kuchagua wagombe nafasi za uongozi kama wabunge na madiwani,Mwenyekiti akisema ni wanaohamia ndio waachwe wagombee basi inakiwa hivyo!
CCM ya sasa haitambui inasimamia nini!Nchi inaongozwa kibepari lakini katibu mkuu anadanganya kuwa ccm inasimamia ujamaa!!!
Ulishafuatilia kweli vyema chanzo cha CHADEMA kujitoa kwenye Uchaguzi Mdogo wa Singida Kaskazini?
Fuatilia mzee utaelewa kwa nini walijitoa mwishoni mwishoni baada ya kupata shida ndani ya Chama juu ya nani wa kumpa agombee: masalia ama huyo mhamiaji?
 
Ulishafuatilia kweli vyema chanzo cha CHADEMA kujitoa kwenye Uchaguzi Mdogo wa Singida Kaskazini?
Fuatilia mzee utaelewa kwa nini walijitoa mwishoni mwishoni baada ya kupata shida ndani ya Chama juu ya nani wa kumpa agombee: masalia ama huyo mhamiaji?
Nilikuwa namjibu yule,ila kwakuwa umejileta kwa angle hiyo basi ngoja nikushughulikie!
Ukiambiwa na jirani kuwa mwanao ni mwizi naww ukajibu hata wakwako ni mwizi,hapo unakiri kuwa unalijua tatizo la mwanao ila ni kwamba haibi peke yake!Na wengine wanaiba!With that said,umekiri kukiukwa kwa katiba ndani ya CCM kwa kutumia mabavu ya mwenyekiti na vibaraka wake!Hayo ya huko singida ndio nayasikia kwako,nikiupata ukweli nitarejea kwako!Ila kama hawajafuata utaratibu wa kura za maoni nao wamekosea!!!!
 
Huyu ni mkweli na sio mnafiki. Hatakaa kwa amani CHADEMA chini ya utawala huu wa Mbowe.

Watu wa aina yake hawapendwi CHADEMA. Anayoyasema tumeshayaandika sana. Lissu pia ameshasema kuwa sasa kuna Group of boys sio men
WE JAMAA HIVI MBOWE ALIKUFANYA NINI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom