Lazaro Mambosasa aondolewe Dar es Salaam

Kweli huyu kamanda ninamashaka nae .swali inakuwaje unatumia risasi za moto kwa mtu ambaye ana panga ,rungu ,risasi hivi kweli inaingia akilini kweli kamanda mzima baba wa fimilia hii ni aibu na udhaifu wa hali ya juu katika jeshi letu .au mnataka kumuaribia sifa raisi wetu .mmetumwa ! Mh raisi nakuomba mteuwe kamanda mwingine alinyooshe ili jeshi
 
Hata kama atapandishwa cheo lakini sisi wananchi tumesema tumetoa maoni yetu kuwa Kamanda Mambosasa hafai na awajibike kwa kujiudhuru ama aondolewe katika nafasi hiyo. Haiwezekani uhai wa Mtanzania umekatishwa kwa amri yake (maafisa wake) halafu anasema hawezi kufuatilia kwa sababu kuna Uchaguzi. Kwake Mambosasa Uchaguzi ni muhimu kuliko uhai wa mtu, tena kijana mdogo, msomi, mwenye maisha (future) tele mbele yake. Binti ambaye ana wazazi, ndugu na jamaa, Binti ambaye angekuja kwa mtaalamu wetu, na ambaye angetuzalia watoto wa kuendeleza Tanzania; halafu Mambosasa anayelipwa mshahara na posho na marupurupu hata magwanda anayovaa kwa kodi zetu; leo anasema eti anashughulikia kwanza Uchaguzi (anaangalia na kusimamia kwanza Ccm washinde) ndiyo baadaye afuatilie kifo cha marehemu Binti Yetu aliyetolewa uhai wake kwa uzembe wa Mambo sasa !!! Hakika tupaze sauti hadi Mambasasa awajibishwe. Hii nchi ni yetu sote siyo ya watawala uchwara.
 
Mauaji ya kishamba sana......incompetence police officers are nothing than hooligans
 
Asulubiwe
 
Ndio maana nimemshauri IGP amuondoe kabla ya kuleta hasara kubwa zaidi .
Mkuu nchi hii ina historia ya kuwapandisha vyeo watu wa aina hiyo na mifano iko mingi hasa katika utawala huu wa awamu tano. Pili humu humu jamvini kuna watanzania unaweza kuwatafakari pengine ndo hao walio, wameagiza hayo mauaji au wananufaika hizo damu za watanzania. Hii ni kutokana na wanavyotoa maoni yao kuhusu utesaji, utekaji na mauaji yanayotokea nchini bila kujali yamefanywa na nani.
 
Kwa nature ya binadamu manyanyaso na ukatili vikizidi haoni shida kufa wakati wowote maana hakuna faida ya kuishi katika hali hii.nina mashaka na uhusiano unaotengenezwa baina ya polisi na raia na ukiangalia polisi wetu wanakaa mtaani.
 
Apelekwe wapi na yeye ameletwa kwa kazi maalumu?
 
Dada vipi? Kinawasha??

Hebu ishi kwa staha kama wanawake wenzako..
 
Magufuri atampandisha cheo awe DGP ( awe makamu wa sirro, nasikia Ngosha kafurahishwa sana sana na Kazi ya afande mambo Leo''
 
Ndio maana nimemshauri IGP amuondoe kabla ya kuleta hasara kubwa zaidi .
Mkuu afande MAMBO leo hawezi kuondolewa,, tena kama ataendelea na Kazi kama aliyoifanya jana,, hakyamungu niamini mimi afande mambo sasa anaweza akachukua nafasi ya afande siiro,, mkulu wetu ndio anawapenda watu kama hao,
 

Mkuu jambo la kujiuliza ni je mbona hadi sasa wako kimyaaaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…