Ni dawa ya kufanya kimba liwe laini au kukusaidia upate choo.Naomba maelezo nini maana ya Laxative?
Laxative ina madhara?
Laxative ina faida yoyote?
Nimeuliza Google lakini naletewa maelezo kwa lugha ya malkia.
Kwa kawaida Mimi hutumia mlonge, katika kusoma sehemu nikaona wameandika kuwa ukitumi Sana mlonge inaweza kusababisha Laxative, nikahisi Laxative ni kitu Fulani cha ajabu na hatari mno!Laxative ni dawa zinazotumika kurahisisha mtu kupata haja kubwa, zinaweza kufanya hivyo kwa kulainisha choo au kuchochea choo kupita katika utumbo mkubwa kwa haraka, hutumiwa na watu wanaoshindwa kupata haja kubwa (kufunga choo)