ChingaMzalendo
Senior Member
- Nov 9, 2008
- 192
- 3
Katika hali ya kutatanisha, kuna tetesi kutoka makao makuu ya NEC yanayohashiria kwamba, Hawa jamaa wamepita, lakini bado hawajatangaza rasmi, hebu wenye taarifa kamili watumwagie. Hii itakuwa ni tatizo kubwa

Nec makao makuu hawamtangazi Mbunge , wanachakachua matokeo ya urahisi , Msimamizi wa uchaguzi wa jimbo ndo mwenye mamlaka kisheria kumtangaza mshindi wa ubungeKatika hali ya kutatanisha, kuna tetesi kutoka makao makuu ya NEC yanayohashiria kwamba, Hawa jamaa wamepita, lakini bado hawajatangaza rasmi, hebu wenye taarifa kamili watumwagie. Hii itakuwa ni tatizo kubwa