Elections 2010 Lawrence masha, basil mramba, makongoro mahanga wapeta!!!!!!

Status
Not open for further replies.

ChingaMzalendo

Senior Member
Nov 9, 2008
192
3
Katika hali ya kutatanisha, kuna tetesi kutoka makao makuu ya NEC yanayohashiria kwamba, Hawa jamaa wamepita, lakini bado hawajatangaza rasmi, hebu wenye taarifa kamili watumwagie. Hii itakuwa ni tatizo kubwa
 
Mmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!! Haya matokeo ya NEC ya Tanzania yanatia kichefuchefu. Kila baada ya masaa matokeo yanabadilika!!
 
Jamani please mizaha mingine siyo mizuri msicheze na haki za watanzania jamani oooohhoooo
 
Bwanae, acheni blaablaa zenu, tunataka vitu vyenye uhakika na siyo tetesi. Habari tunazopeana humu sasa zinaanza kukosa maana.
 
Jamani paka ni mnyama mpole sana, ila jaribu cku moja umfungie kwenye chumba uanze kumtandika. walaah utafungua mlango mwenyewe! ipo cku wadanganyika watageuka paka
 
Ngoja tusubiri kusikia matokeo ya tume itakuwa ajabu kama matokeo yakitanganzwa na tume huku kwenye jimbo lenyewe hayajatangazwa
 
acha uvumi usikuwa na maana fanyia jambo kazi ndo utoe! au liwe karibia na ukweli,
 
Katika hali ya kutatanisha, kuna tetesi kutoka makao makuu ya NEC yanayohashiria kwamba, Hawa jamaa wamepita, lakini bado hawajatangaza rasmi, hebu wenye taarifa kamili watumwagie. Hii itakuwa ni tatizo kubwa

Bwana chinga em acha ushabiki wa kipropaganda! unaandika heading as ifkitu ni official? ujue kwa sasa mtasikia mengi sana jamanio ila kuweni wavumilivu na msikubali kucharuktu ovyo!
 
Hizi taarifa sasa tusubiri matokeo kwa nini hata mimi nimetumiwa sms na mtu aliyeko ndani ya JUmba la manispaa ya Arusha ambaye amedai Msimamizi tayari kamtangaza Lema kuwa mbunge lakini CCM sasa wamemzuia asitoke ndani ya chumba ili maboksi yafunguliwe na kuhesabiwa tena...............
 
Katika hali ya kutatanisha, kuna tetesi kutoka makao makuu ya NEC yanayohashiria kwamba, Hawa jamaa wamepita, lakini bado hawajatangaza rasmi, hebu wenye taarifa kamili watumwagie. Hii itakuwa ni tatizo kubwa

This might not be true coz the most recent reports indicate that all those have been unsuccessful.
 
Katika hali ya kutatanisha, kuna tetesi kutoka makao makuu ya NEC yanayohashiria kwamba, Hawa jamaa wamepita, lakini bado hawajatangaza rasmi, hebu wenye taarifa kamili watumwagie. Hii itakuwa ni tatizo kubwa
Nec makao makuu hawamtangazi Mbunge , wanachakachua matokeo ya urahisi , Msimamizi wa uchaguzi wa jimbo ndo mwenye mamlaka kisheria kumtangaza mshindi wa ubunge

Chinga nenda ukosome kwanza , usikimbilia biashara ya mkononi tu
 
Kama mtu hana uhakika na information just shut the f**** coz mnaharibu kabisa umuhimu wa hili jukwaa!
Pls let post reliable infomartion si mtu unakurupuka na kupost upuuuzi.
 
JAMII FORUMS naipenda mno. lakini sasa nimeanza kupatwa na wasiwasi mkubwa kuhusu namna watu wanavyoichezea. Wanapost vitu vya uongo visivyofanyiwa utafiti. Hii ni mbaya sana. Kwa wengi wetu Jamii forums ilipaswa itumike vema kwani hii ni social media ambapo watu wasiopata nafasi kwenye media za kawaida hapa ndipo wanapotoa maoni yao. Ni ajabu kwamba sasa Jamii forums inageuzwa kuwa kichaka cha porojo na uongo huku baadhi wakitumia vibaya uhuru wa wa kutoa maoni na mawazo. Kwa hakika inasikitisha mno.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom