Lawrence Masha apendekeza Mwakyembe afukuzwe Uanachama TLS

[quote uid=13443 name="Bujibuji" post=20203823]Dr. Mwakyembe amefanya haya.
LISU ASIWE MGOMBEA WA TLS...AKASHINDWA.
AKATAKA KAFUTA CHAMA WA WANASHERIA TANGANYIKA...AM
ESHINDWA.
AKATAKA UCHAGUZI WA TLS UAIRISHWE AKASHINDWA.
AKAPELEKA KESI MAHAKAMANI KUBADILI VIFUNGU VYA TLS...AKASHINDWA.
AKATAKA WATU WASIOE BILA VYETI VYA KUZALIWA...AKASHINDWA...
HUYU NDIO WAZIRI WETU SHERIA NA KATIBA.

Huyu ni bongolala siku zote sijui hata hiyo Phd kama aliipata kihalali. Amekuwa ba arguments na decisions A kitoto siku zote. Angalia hata suala la Richmond kama kiongozi wa tume alilaswa kushirikisha parties zote ipasavyo wakati wa probbing lakini alikurupuka na kutia findings zenye taswira ya chuki za kitoto na kimbulula. Chama anawezaje kufuta wakati uanzishwaji wake ni wa utaratibu wa wanachama uliofuatwa na kutambulika kisheria. Zero brain. Shame upon him!!! Mbulula[/QUOTE]
Unajua nae Advance alifeli ikabidi akapige uandishi wa habari kidogo kama miaka mitatu ndo akapanda chuo si ajabu nae kapandia cheti cha mtu LLB

TLS inaenda kuwa ni ya CHADEMA kwani mkuu wao atakuwa ametoka CHADEMA ambaye ni Lisu wa CHADEMA.
Ukweli ni kuwa TLS inaenda kujiunga na CHADEMA haitaacha tafauti za kiitikadi na kisiasa pembeni bali sikiliza kwa umakini sababu ya Lisu kuingia humo.

Mimi siko kwenye chama chochote na sipendi kuingia chama chochote, ila napenda haki, amani na upendo kwa watanzania wote. Wanasheria ni watafuta haki, amani na mwisho kunakuwa na upendo kwa kufuata masilahi ya nchi. Sijapenda na wao waingie kwenye siasa. Hata huko Isanzu kutakuwa na burugu mechi tu.
MBONA TUNDU LISU ANA PIGANIA YOTE ULIYOTAJA HAPO JUU?AU ULITAKA AWE MTU WA JAMII YA ANGELA KAIRUKI ENZI ZA ESKRO

Back
Top Bottom