Lawrence Masha ajivua uanachama wa CHADEMA. Adai hawana nia ya kushika dola!

Aaaah ah, tulishasema CHADEMA ni chama cha mipasho baada ya Dr Slaa kujiondoa watu wengine hawakutuelewa! Sasa jioneeni wenyewe!
Binafsi naamini kiongozi wa kweli ni yule anayetanguliza maslahi ya wengi kuliko maslahi binafsi au ya kikundi.

CHADEMA haiangukii kwenye ukweli huu sababu wao wanaamini kwenye kushika dola kwanza ( siyo kutimiza matarajio ya wengi) na hili wamelikiri mara nyingi wakiamini ni karata ya kuwapaisha, kumbe inawadondosha!

Binafsi siamini Masha kama ni kiongozi mwenye sifa ya kutanguliza maslahi ya umma, lakini angalau amekosoa CHADEMA kwa ukweli ambao uenda yeye auishi lakini ndio ukweli kwa imani ya wengi.
 
Hana impact yoyote upinzani, hata akarudi kesho CCM hawezi kumake any difference, Mwanaume gani unalia ovyo ovyo, unakosa u bunge E.A kilio anashindwa hata na Salum Mwalimu.
 
Watakukana mkuu
 
Lowasa na sumaye hawatoki Ng'oo pesa zao waliwakopesha ndio mkapata wabunge na madiwani wengi hawatoki hadi muwalipe chao .msile ruzuku lipeni madeni ya Lowasa na sumaye. Yale mafuriko zilikuwa pesa za lowasa ,sumaye na rafiki zao.Mzilipe kwanza maruhuni nyie hatoki mtu
 
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Kego Masha atangaza Kujivua Uanachama wa CHADEMA.

- Adai upinzani hauna nia ya kutafuta fursa ya kuunda Serikali




Kama angekuwa amepata cheo cha ubunge wa East Africa kupitia CHADEMA, je angejiuzulu uanachama?

Kama ni kweli amejiondoa uanachama basi ajiunge rasmi na Republic of Kanda ya Ziwa...But the question is how much.....???
 
Kama anataka dola aende benki kuna dola atashika hadi achoke, Kuingia madarakani sio rahisi kama alivyotegemea.
 
Tunajua kilicho mpeleka chadema na sasa hakiwezi kumsaidia tena. Hata hivyo chadema waligundua kwamba hawakulamba dume.....!!
 
Hii ni beyond comedy... halafu baadaye Nyalandu naye aseme ameamua kutoka... seriously.. hivi kweli kabisa watu wanaamini hawa jamaa wanaingia CDM kwa vile wanaipenda saana?
 
Kego alikuwa anataka awe Mwenyekiti Chadema. Ivi kweli Kego wewe uwe Mwenyekiti, na tumweke wapi Freeman wetu ?. Freeman katutoa mbali kaka. Wewe rudi tu nyumbani ulikozoea mambo ya sopusopu.
 
Hana impact yoyote upinzani, hata akarudi kesho CCM hawezi kumake any difference, Mwanaume gani unalia ovyo ovyo, unakosa u bunge E.A kilio anashindwa hata na Salum Mwalimu.
Sawa labda bora sasa mkawekeza kwa Wema Sepetu..
 
Sungura........sitaki mbichi hizi.......
 
CCM na CHADEMA kama pwagu na pwaguzi au pipa na mfuniko,CHADEMA wangeendelea na system yao ile ile ya kuwachukua wanafunzi kutoka vyuoni na kuwa train, leo hii wangekuwa na kina myika, mdee wengi tu lkn ndio hivyo chadema ya sasa si ile, alafu wanatupa tumaini yakuwa wataleta mabadiliko wakati pombe ni ile ile ya zamani lkn chupa ndio mpya ,hata kama chadema akichukua madaraka sitegemei mabadiliko .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…