leo hujaingia deep nitakavyo ujue Ijumaa hii hunny bunny!!!
Ni kweli lakini na sie wakati mwingine tunakuwaga na gubu tu, kulalamika bila sabau ya msingi na kumpa karaha mwenzio!!! lakini ile ya 'deko' inalipa bana (tabu uwe na wako kama MJ1 na BHT vichwa ngumu)
wewe mjanja sana!unachokitaka mimi nimeshakishtukia,na mbinu zako NIMESHAZIKAMATA..!HADANGANYIKI HUYOπππhahahaha B,
Unajua 'kulalamika' kwa mahaba na mahanjumat bin 'Al-batar' ni tofauti na anayosema Mbu hapa.....
Mi nina bahati kubwa kweli sipati malalamiko ya ki ivyo, ila napata yale ya kiuhamasishaji B.....au nimeingia ndani sana sweetheart?
ha ha ha comrade G kwa kusoma between the lines upo juu!!wewe mjanja sana!unachokitaka mimi nimeshakishtukia,na mbinu zako NIMESHAZIKAMATA..!HADANGANYIKI HUYOπππ
mmh wakati wadekaji wakubwa kabisa ndo ninyi B! tamu hiyo......hyu anamdekea huyu, basi maishan yanakuwa sawa bin sawia!
unajua B, hata kukiwa na mahitaji lakini kukiwa na skills za kudeka, mbonma yatatimizwa tu fasta bila kuwa na feeling kwamba hizi ni lawama....umenisome eeh wa ukweli
wewe mjanja sana!unachokitaka mimi nimeshakishtukia,na mbinu zako NIMESHAZIKAMATA..!HADANGANYIKI HUYOπππ

ha ha ha comrade G kwa kusoma between the lines upo juu!!
umesomeka lakini umeshtukiwa pia!!!!
leo hujaingia deep nitakavyo ujue Ijumaa hii hunny bunny!!!
Ni kweli lakini na sie wakati mwingine tunakuwaga na gubu tu, kulalamika bila sabau ya msingi na kumpa karaha mwenzio!!! lakini ile ya 'deko' inalipa bana (tabu uwe na wako kama MJ1 na BHT vichwa ngumu)
mmh wakati wadekaji wakubwa kabisa ndo ninyi B! tamu hiyo......hyu anamdekea huyu, basi maishan yanakuwa sawa bin sawia!
unajua B, hata kukiwa na mahitaji lakini kukiwa na skills za kudeka, mbonma yatatimizwa tu fasta bila kuwa na feeling kwamba hizi ni lawama....umenisome eeh wa ukweli
wewe mjanja sana!unachokitaka mimi nimeshakishtukia,na mbinu zako NIMESHAZIKAMATA..!HADANGANYIKI HUYOπππ
ha ha ha comrade G kwa kusoma between the lines upo juu!!
umesomeka lakini umeshtukiwa pia!!!!
ha ha ha mkulu hakuna siku naifurahi ka ya leo!!Leo kazi ipo ijumaa ina mambo hapa naona mnaona kama mida haiendi kivile.