Lawama ziende TISS?

Ikiwa hivyo Nchi haiwezi tawalika,wao wafanye kazi Yao ya counteroffensive ,mambo ya kuwatoa toa Moja kwa Moja kwenye mamlaka ya Rais ni mbaya haifai.
 
Kwani Watanzania wapi wenye hizo sifa? Hao Tiss wanatokea mbinguni? Mimi nawajua wengi tuu ambao ni Washenzi tuu.

Tabia unazoziona Kwa Watumishi wa Umma wengi nao wako hivyo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…