Lawama ziende TISS?

Kati ya kundi ambalo latakiwa liwe mbele kujua mabaya ya Taasisi ni TISS, hawa walitakiwa wawe washajua vitu, wazuie, warekebishe.

Iweje Serikali ipate hasara na shirika la kijasusi lipo?

Kama halina nguvu, liongezewe nguvu.

TISS imejaa ukada
60% ya walioajiriwa TISS sio Wazalendo, sio Waaminifu, sio Wanyenyekevu na pia sio Watiifu.

Na ndio maana wengi wao hata tu kwa kuwatizama kwa macho ya kawaida , wanaonekana sio Mahodari, sio Majasiri, sio Mashupavu na pia sio Mashujaa.

Bure kabisa! TISS ya mchongo!!!
 
Kati ya kundi ambalo latakiwa liwe mbele kujua mabaya ya Taasisi ni TISS, hawa walitakiwa wawe washajua vitu, wazuie, warekebishe.

Iweje Serikali ipate hasara na shirika la kijasusi lipo?

Kama halina nguvu, liongezewe nguvu.

TISS imejaa ukada
Wa kwetu sisi ni ubabe tu ndiyo wanauweza, tazama barabarani wakiwa na magari, ni fujo kwenda mbele
 
Wa kwetu sisi ni ubabe tu ndiyo wanauweza, tazama barabarani wakiwa na magari, ni fujo kwenda mbele
Afu karibu 90% wanapenda kutumia kinywaji aina ya Energy. Sijui wanakipendea nini hawa JAMAA!!! Au ndio code nini?
 
Ndio maana sometimes nasema hawa jamaa kazi zao ni ndogo ndogo sana.

Inawezekanaje vipi wasijue Madudu kibao yanayoendelea nchini?

Mfano madai ya yule mwalimu wa Moshi,kama ni kweli au uongo wangepaswa wawe wamejua mapema na kutatua tatizo
 
Ni raisi tu kapenda tujue hayo sijui ana amaana gani maana angeamua tusijue angemzuia tu huyo CAG maana uwezo anao.
Labda ana lake jambo si bure...
 
TISS wanao ichungulia CDM inafanya nn.
 
Una point, marekani wanawezaje? Why kwetu tushindwe?
 
Ndio maana sometimes nasema hawa jamaa kazi zao ni ndogo ndogo sana.

Inawezekanaje vipi wasijue Madudu kibao yanayoendelea nchini?

Mfano madai ya yule mwalimu wa Moshi,kama ni kweli au uongo wangepaswa wawe wamejua mapema na kutatua tatizo

They are simply not interested
 
Wana vimada kila sehemu tokea Dar hadi Ddm
Kibaha
Mlandizi
Chalinze
Morogoro
Dakawa
Dumila
Gairo
Kibaikwa
Mbande
Chamwino
Daah sio poa...kama madreva maroli au sio? Daah kweli sio poa aisee...mamaaaa!!!!
 
Afu jamaa wadhaifu sana waonapo wanawake ( hasa wanawake weupe na wenye Matako ; utakuta jitu linaonyesha mpaka kitambulisho au binduki mwanamke aone tu...astakafiruraaa dadeki wallah)

Kwenye sherehe...ukiwaona wameenda kulia chakula kwenye gari...ujue hizo sahani na vijiko lazima wapite navyo. Daah hawa jamaa sijui Wana display nini kwenye Jamii....

Kidogokidogo Jamii itaanza kuwachukuliwa poa tu! Wao wenyewe ndo wanajishushia brand kama walivyo matrafik ( kuomba omba vibukubuku mabarabarani)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…