Lawama nimpe Nani?

Nahisi mimi niko too old fashion sometimes...
Mengi nayasikia tu....sijawahi wala kuona mtu close akifanya....
 
Wote ni wa kulaumiwa, Kuna kijana mmoja mke wake kajifungua, akaja mdogo wake na mke wake (Shemeji) kuja kumsaidia mzazi. Na yeye katiwa MIMBA. Je hapo nani alaumiwe?
 
Eh huyo sasa hata sijui unafanyaje? Ina maana eh hata siweziuliza kusema ukweli!.
 
salama babu mwenzio nawaza saa ngapi kazi inaisha tukafurahie lijumaa siitaki kabisa kusikia dhahama za hii dunia... leo nikujifyonza kwa kwenda mbele na hichi kijua acha kabisa.

Ni heri kuyasikia kuliko kuyashuhudia.
Na ni heri kuyashuhudia kuliko kuyafanya
Hujambo mpenzi?
 
Huyo mdogo mtu kagoma kabisa kuondoka,,,, Hivyo jamaa anatunza mtu na mdogo wake.... Hivi ninapoingia mitamboni, Wote wawili wana watoto wawiliwawili.
Dreamliner ina maana wamejifungua mapacha wote?? Eh wanaume wengine wanatutafuta ubaya!!
 
salama babu mwenzio nawaza saa ngapi kazi inaisha tukafurahie lijumaa siitaki kabisa kusikia dhahama za hii dunia... leo nikujifyonza kwa kwenda mbele na hichi kijua acha kabisa.
Nijibu PM yangu basi, tukutane wapi tuzitendee haki bia? Mambo ya kuumiza akili kwa mawazo wakati kuna vituliza mawazo vimejaa tele........
 
Ningeshanga sana kama dadangu mbea kama wewe ungekosekana kwenye hii sredi.

Hujambo my luvly sis? Mie akumiss mpaka atoka jasho mdomoni.
=
hahhahaha mie dadako ni mbea/mnoko but ninachofurahi bado unanipenda saanaa 2.....cjambo my bro, naona MJ1 anataka kutuharibia wkend sasa na wkend yenyewe tamu hii, mifuko imenona, hanywi mtu mbege....mwendo wa ngano tu...hahahahah! mwaahhhh
 
MwwwaaaH........ kamata hiyo kama bakshishi yako ya weekend.........
 
hahaaaaaaaaaaaa MTM sura na tabasamu lol ..........( )carolight inalipa acha mchezo

Hivi CHauro, wewe ni mzuri kama hiyo avatar yako au ndiyo yaleyale??

Maana kuna demu kanichanganya kwenye simu, kuja kumuona nilikimbia kuliko mwizi

hebu sema neno moja tu.... je umefanana na avatar yako?
 
Khee! mate, ngoja niangalie anga nyingine. Hii naona ishakula kwangu mazima!
 
umeonaeeee???? leo matabasamu kazi yake................ MJI ameshahau siku lenyewe fridaaaaaaaay hali ya hewa bwererere halafu mfungo wa tisa leo.

Nijibu PM yangu basi, tukutane wapi tuzitendee haki bia? Mambo ya kuumiza akili kwa mawazo wakati kuna vituliza mawazo vimejaa tele........
 
umeonaeeee???? leo matabasamu kazi yake................ MJI ameshahau siku lenyewe fridaaaaaaaay hali ya hewa bwererere halafu mfungo wa tisa leo.
Sasa mbona hujibu PM yangu bana, twenzetu tukapiga maulabu, raha tujipe wenyewe banaaaaa!
 
Natoa hoja

Mwenye kiu ya asali anicontact leo nina pesa si mchezo

Halafu nina kiu sana ya JD.... MAsa ameshaconfirm kwamba atakuwepo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom