Lawama katika Maisha

Lawama katika Maisha

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,683
Reaction score
14,066
Kweli tunapitia nyakati ngumu na kweli kuna wakati ulinisaidia salio kidogo nikanunua LUKU lakini msaada huo uliambatana na masimango.

Naam na kwa kumbukumbu zangu baada ya hapo si kwamba nilikutupa... la hasha nilikuwa pamoja nawe katika shida mbali mbali,,,,

Pamoja na hayo bado unaona haitoshi kila kunapokucha ni lawama kwamba ..''Jamaa siku hizi anajisikia sana,,,anajifanya ana hela....

Nikipiga hesabu ni dhahiri misaada niliyokupa inazidi sana ile hela yako ya LUKU uliyonipa kwa masimango ambayo wewe umeitumia kama silaha ya kunichapia na kunisimangia kwa watu.

Daah! kuishi na watu ni kazi,,,,,

Kuna mdau huku anasema......Job True true....
 
Nawewe Kuendeleza lawama mtandaoni si jambo la jiungwana, man up, mface huyo mtu myaongee yaishe.
 
Lawama zinafunga riziki. Ukimsaidia mtu feedback tegemea kuipata kutoka KWA Mungu na watu atakaowalekeza kwako sio uliyemsaidia. Vunja mahusiaono ya kimsaada kati yako na unayemsaidia.

Kama kusema watu wanahaki ya kusema chochote, ila wewe unajukumu la kuamua kuwajali au kuwapozeasea na kauli ZAO.
 
Back
Top Bottom