Law School ni jipu

Wale wanasheria watarajiwa wajiandae kisaikolojia ,Tarehe 14-5-2016 saa nane Mchana ,Mjiandae tu maana watakaofaulu ni 6% ya wote mlofanya exams,Yaani approximately kati ya wanafunzi 480 waliofanya final only 54 ndio watakaoapishwa mwezi june.

My take:- Kufanikiwa maisha si lazima uwe wakili.
 
Law school watoa matokeo leo 18-05-2016 .
Cha ajabu hayafunguki,mtandao upo low,ila soft copy nimeiona,nawapa hongera wamefaulu sana kadri ya juhudi ya mtu binafsi
 
Law school of Tanzania sasa imeshika sana ubora.

Shule ilikuwa ile ya kina Jaji Ndika,Tulia Ackson kwenye probate,Dr Tenga na Sisty kwenye Conveyanve,Prof Majamba kwenye legal drafting.

Sasa wamelegezewa ila wanafeli sana.
Napendekeza wale wa zamani warudishwe ili fani ya sheria iheshimike.

Wakili kwenye law firm wanalipwa laki 6 kwa mwezi,kweli maisha watayamudu?
 
Wanafundisha hiki...halafu wanatoa kile...hatari Sana.
 
Back
Top Bottom