Mtoa mada una mhenuko.Law School ni regulatory board ambayo Wanafunzi toka vyuo vyote mnapitia pale.Pili,Lst Haiwezi kuanzishwa kila chuo na ndio maana tunataka wanasheria wenye same standard,-Tatu,Wanafunzi 500 ni wengi na pia wanatosha .Nne,Fani ya sheria siyo rahisi kujiajiri kama unavyofikiri,najua wewe ni llb graduate ambaye ukiona wakili unawaza wateja wanamfuata hapo matakoni .Uwakili ni zaidi ya muhuri n a law firm,ni kujitolea ,kutolala na kufanya tafiti sana.Nakushauri ukasome ustawi wa jamii kama hutaki kupitia lst.Nbaa ,kwa wahasibu mbona hawalii lii namna hii?Procurement nao wana bodi yao,Nini maana ya profession?Isikute mpo llb na mnason madesa ya kida Kadeghe ndo maana reasoning capacity yenu ipo chini.Jaji Ndika kuwa makini na hawa wanafunzi wa 17- 29th Cohort,Kumbuka hawa ndo wale waliobebwa na serikali matokeo ya form 4 na 6 ili isiabike dhidi ya shule binafsi.Ndika ,Majamba,Chuwa,Madam molel ,Lukumay ,Dr Swai Kamata hao vijana supp za kutosha,Waachieni kama 20 tu ili wajue uwakili si matako!