Kwan lavalava ndo alieiajiri wcb au wcb ndo imemuajiri lavalava..? Na kama lavalava kaajiriwa kazi yake s ni kutoa nyimbo inakuaje uongozi umpe uhuru wa kutoa nyimbo pale anapotaka na sio kama uongozi unavotaka ina maana lavalava n mkubwa kuliko lebo yake ..? Apo uongozi ndo una changamoto