Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,308
- Thread starter
-
- #181
Mlevi anarudi na rafiki yake mgeni nyumbani kwake na kuanza kumuelekeza hii ni nyumba yangu na lile ni gari langu,wakaingia ndani wanalikuta njemba limelala na mke wa mlevi bila wasiwasi mlevi anaendelea kuelekeza kile ni kitanda changu, yule ni mke wangu na yule aliyelala naye ni MIMI
Wahaya kwa mbwembwe hawana mpinzani,jamaa ni mhudumu wa mochuari sasa anavyojitambulisha kwenye harusi,my name is Kamugisha am working with Muhimbili,infact professionally nawahudumia watu ambao madaktari bingwa wameshindwa kunusuru uhai wao. Da!
hahahahahahaha labda na yeye alikuwa na husninyo...Ushost bana, una mambo. Hapo wanaongea . . .
Shosti - Mwenzangu, mume wangu ananisaliti.
Husniyo - Umejuaje?
Shosti- Nampigia sim namuuliza uko wapi, akaniambia yuko na MS wakati MS mwenyewe nilikuwa nae guest?? Si unaona huyu mwanaume alivyokosa uaminifu?
hahahahahahaha labda na yeye alikuwa na husninyo...
cotton bags mkuuThere are 3 rooms
1. Gold Coins
2. Currency Notes
3. Cotton Bags
If the 3 rooms catch FIRE, on which room will the ambulance pour water 1st?
Reply to me and I'll tell you what your IQ is!
cotton bags mkuu