Lau Masha

No hajapotea wala hajapatwa na chochote kibaya, nilipitia katika maktaba yangu na kukuta hizi picha, nilitafakari jinsi siasa ilivyo mchezo mchafu, nyota ya mwanasiasa huyu imepotea ghafla kwenye siasa.

Ndiyo maana unaambiwa cheo ni dhamana......au mpanda ngazi ushuka. Haka kajamaa kalikuwa kana nata sana na alikuwa anapenda sana kuchapa wake za watu kwenye gari huku akilindwa na askari (body guards) wake. Sasa ukimuona yuko mpole na askari waliokuwa wanamlinda ndiyo wanamnyanyasa.
 
Unaiyosha ya maji ya uvungu vungu, halafu unazikuta zina ile harufu yake ya asili hata ukizama chumvini unajiskia upo chumvini, ila wale wa masaki **** zao unakuta hazina ile harufu yake ya asili ina nukia lotion maana mda wote inasunguliwa na maji

Yako inanukia nini?
 
Tatizo Masha alichagua njia mbovu... Hivi unaanzaje kupenda upinzani kwa Tanzania!?... please, vijana naomba tujitambue:)
Fikra zako potofu, kwahiyo hata vijana kumchagua Mungu wanakosea au?
 
No hajapotea wala hajapatwa na chochote kibaya, nilipitia katika maktaba yangu na kukuta hizi picha, nilitafakari jinsi siasa ilivyo mchezo mchafu, nyota ya mwanasiasa huyu imepotea ghafla kwenye siasa.
Uzuri yeye ana "Professional" yake anayoweza kuitumia kumwingizia kipato tofauti na wengi ambao wakikosa Ubunge /Uwaziri ndio basi tena
 
No hajapotea wala hajapatwa na chochote kibaya, nilipitia katika maktaba yangu na kukuta hizi picha, nilitafakari jinsi siasa ilivyo mchezo mchafu, nyota ya mwanasiasa huyu imepotea ghafla kwenye siasa.

Kwa hiyo kwenye maktaba yako kuna hizo picha mbili tu za huyo bwana tu? Si bure!
 
No hajapotea wala hajapatwa na chochote kibaya, nilipitia katika maktaba yangu na kukuta hizi picha, nilitafakari jinsi siasa ilivyo mchezo mchafu, nyota ya mwanasiasa huyu imepotea ghafla kwenye siasa.
Hata wewe bado kidogo udukuliwe!
 
Back
Top Bottom