Lau Masha

Aliibuka kwenye uchaguzi kupitia chadema akatiwa lockup na police ingawa miaka michache iliyopita alikuwa boss wao. Haya maisha bwana
Ninafahamu hii ilikuwa ndiyo ile taasisi ya Lowassa for a long time, hawa ndiyo waliku CCM ya Lowassa kinandaki ndaki.
 
No hajapotea wala hajapatwa na chochote kibaya, nilipitia katika maktaba yangu na kukuta hizi picha, nilitafakari jinsi siasa ilivyo mchezo mchafu, nyota ya mwanasiasa huyu imepotea ghafla kwenye siasa.
Ni ex wako nini??
 
Tatizo Masha alichagua njia mbovu... Hivi unaanzaje kupenda upinzani kwa Tanzania!?... please, vijana naomba tujitambue:)
 
Katika siasa, kupanda au kushuka ni kitu cha kawaida na mbona siyo yeye tu!
 
No hajapotea wala hajapatwa na chochote kibaya, nilipitia katika maktaba yangu na kukuta hizi picha, nilitafakari jinsi siasa ilivyo mchezo mchafu, nyota ya mwanasiasa huyu imepotea ghafla kwenye siasa.
Aliipoteza mwenyewe. Waulize wamachinga wa Makoroboi shombo alizokuwa anawajibu, mpaka wakaamua kulitunuku jimbo kwa Wenje
 
Lile zengwe la vitambulisho la Taifa likamsomba,wanasema alikuwa na kampuni anayoipigia upatu ishinde tenda.
 
Back
Top Bottom