Lau Masha

No hajapotea wala hajapatwa na chochote kibaya, nilipitia katika maktaba yangu na kukuta hizi picha, nilitafakari jinsi siasa ilivyo mchezo mchafu, nyota ya mwanasiasa huyu imepotea ghafla kwenye siasa.
 
Yaani ile ilikuwa kali, waziri alihamisha ofisi Rose Garden.
 
Asante mkuu, lakini what went wrong?

Ile wizara mbaya sana aisee. Inaweza kukunyanyua kukupaisha au ikakudumbukiza shimoni jumla.

Ukijumlisha na upepo wa CDM......daaah. Ila tunammiss Rose Garden na chupa yake ya chai na kulindwa na askari hadi tukifunga
 
Uzuri wake aliwekeza kwenye biashara pia, na shule anayo hakosi hela ya gazeti ingawa namba inasomeka.
 
Yuko vizuri labda tu Kwa kuwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…