LATRA toeni muongozo

Gloriamagret

Member
Jun 12, 2023
47
155
Tunapanda Mabasi Luxury yenye choo ndani lakini unanyimwa kujisaidia haja kubwa. Choo hakichagui haja kubwa au ndogo. Matokeo yake tunalipia vyoo bure.

Nimehakikishiwa na watengenezaji wa mabasi Yutong. Scania nk vyoo vya mabasi yao vipo kwa ajili ya haja zote.

Huu ujinga wa kumpangia mtu aina ya haja upo kwetu tu haupo Kenya, Zambia, Afrika Kusini nk kisa kuna taasisi haziwajibiki kwa wananchi.

Sababu kubwa ya wao kuzuia haja kubwa ni kukwepa gharama za usafi wakati abiria alishalipia tayari.

Huu ni wizi kama wizi mwingine bora hivyo vyoo kwenye mabasi ya VIP viondolewe
 
Ni ujinga kumpangia abiria aina ya haja kwenye basi!
 
Mtoa mada hujakosea.. Ni wajibu WA wenye mabasi kuhakisha wanatimiza haja za wateja.. Kuna siku kwenye basi Fulani mzungu alijichafua.. iiabidi basi lisimame akanawe mtonii..

Ushauri:
Pale mbele Kwa dereva kuwe na kengele MTU akiingia chooni just for emergency anabonyeza dereva aende mwendo Pole usio msumbua anae jihelp..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom