Si yana ofisi hapo.Wananchi wengi wameanza kulalamika kuibiwa na kutapeliwa kwa mabasi yanayo Pakia abiria maeneo ya Shekilango, manzese, magomeni n.k.
Hakuna usalama, lkini pia mabasi yenyewe hayakaguliwi na wakaguzi wa mabasi yaani vehicle inspectors.
Sio vitano tu hata kumi.Unajua ukubwa wa Dar es Salaam hadi utake abiria wote wakarundikiwe hapo kituoni, hata kama ni utetezi wa ligasi usijitoe akili kiasi hicho. Dar es Salaam inapaswa kuwa na vituo hata vitano vikubwa vya mabasi.
Sio kwwli, mabasi yote lazima yakaguliwe kwasababu njiani lazima waonyeshe form ya ukaguzi.Wananchi wengi wameanza kulalamika kuibiwa na kutapeliwa kwa mabasi yanayo Pakia abiria maeneo ya Shekilango, manzese, magomeni n.k.
Hakuna usalama, lkini pia mabasi yenyewe hayakaguliwi na wakaguzi wa mabasi yaani vehicle inspectors.
Asipokuelewa hapa basi tena itakua kichwa majiSioni shida yoyote
Kuhusu kushusha abiria kabla ya stendi kuu ni sawa. Fikiria basi la kutoka Kilimanjaro kupitia Bagamoyo lina abiria wa Bunju. Unataka akashushwe Magufuli(Mbezi) halafu ndio atafute daladala arudi Bunju?
Abiria atashushwa njiani na bado basi litaenda stendi kuu kushusha abiria wengine. Watakaoamua kubaki kwenye basi waende kushuka kwenye ofisi za hilo basi kwa ajili ya unafuu wa kwenda waendako ni sawa pia
Ukija upande wa kupandisha abiria. Wakipandisha abiria kwenye ofisi zao bado basi litaenda stendi kuu kupakia abiria wengine. Na hapa abiria aliyepandia ofisini kwa sababu ya ukaribu na anapotoka amepunguziwa gharama ya kwenda stendi kuu
Biashara ina ushindani mkubwa customer care nzuri muhimu sana kuvutia wateja
´Hili la kuwa na kituo kimoja wakati jiji limepanuka ndiyo tatizo. Tunarudi kule kule: viongozi wetu wanakurupuka. Jiji kubwa kama Dar practically ni vigumu sana kuwa na kituo kimoja cha mabasi. Magari yanayopitia Bagamoyo yanatakiwa kuwa na kituo chake eg Mwenge. (kambi ya jeshi ihamishwe) Yanayotokea kusini nayo yawe na kituo chake. BTW wewe unaweza kuwa ni hawa wajasiriamali waliofungua frem pale kituo cha Magufuli unataka wateja. Au unatoa huduma ya tax, bajaji kwenye hayo maeneo. Tanzania mara nyingi watu wanalalamika pale ''wapoguswa'' maslahi yao na siyo maslahi ya umma.Lengo la kujengwa kituo kikubwa vha mabasi cha Magufuli ni kuhakikisha Mabasi yote yanaingia hapo na sio vinginevyo.
Ila naona LATRA na wadau wengine wanaona "muhali" kuchukua hatua dhidi ya makampuni ambayo yameanzisha stendi bubu katika maeneo ya ofisi zao.
Maelezo yako yamjaa busara na akili. Sina la kuongeza ila nashauri yatekelezwe. Unajua kuna wengine wanataka abiria wote wawe wanamwagwa hapo stendi ili biashara kama tax, bajaji na hata vyakula zichanganye.Sioni shida yoyote
Kuhusu kushusha abiria kabla ya stendi kuu ni sawa. Fikiria basi la kutoka Kilimanjaro kupitia Bagamoyo lina abiria wa Bunju. Unataka akashushwe Magufuli(Mbezi) halafu ndio atafute daladala arudi Bunju?
Abiria atashushwa njiani na bado basi litaenda stendi kuu kushusha abiria wengine. Watakaoamua kubaki kwenye basi waende kushuka kwenye ofisi za hilo basi kwa ajili ya unafuu wa kwenda waendako ni sawa pia
Ukija upande wa kupandisha abiria. Wakipandisha abiria kwenye ofisi zao bado basi litaenda stendi kuu kupakia abiria wengine. Na hapa abiria aliyepandia ofisini kwa sababu ya ukaribu na anapotoka amepunguziwa gharama ya kwenda stendi kuu
Biashara ina ushindani mkubwa customer care nzuri muhimu sana kuvutia wateja
Utafiti wa kijinga huu huyo anayelalamika kuhusu kupakia na kushusha kwenye baadhi ya maeneo aende Magufuli stand maana mabasi yote yanapita Magufuli stand. Basi linatoka tanga linaenda mbagala sasa abiria wa mbagala ashuke Magufuli stand?Tabia ya kila basi kupakia na kushusha abiria sehemu yoyote katika Jiji la Dar es Salam imekuwa kwa kasi ya ajabu. Hivi sasa Mabasi yamezagaa katika kila mtaa yanapakia na kushusha abiria waendao na watokao mikoani.
Hali hii imechochea ongezeko la ajali lakini pia usalama umekuwa mdogo sana.
Swali la kujiuliza ni je? Ni lipi haswa lengo la kujengwa stendi ya mabasi ya Magufuli Mbezi?!!!
Wananchi wengi wameanza kulalamika kuibiwa na kutapeliwa kwa mabasi yanayo Pakia abiria maeneo ya Shekilango, manzese, magomeni n.k.
Hakuna usalama, lkini pia mabasi yenyewe hayakaguliwi na wakaguzi wa mabasi yaani vehicle inspectors.
Kama kuna sheria inaruhusu kila basi kupakia na kushusha popote basi sheria hiyo irekebishwe mara moja na LATRA wanao wajibu wa kusimamia na kuhakikosha mabasi yote yanafuata na kutii sheria ya kupakia na kushusha abiria kwenye stendi maalum.
Nimepita maeneo ya shekilango, manzese n.k ni vurugu tupu, mambo yanaenda ovyoovyo!!! Kila basi linajifanyia mambo yake!!! LATRA mko wapi??!
Nawatakia krismas njema.
Yesu Kristu azaliwe kwenye mioyo yetu, tuwe na upendo na huruma kwa binaadamu wenzetu.
Abiria wa mtwara na lindi nao wapande magari Stand ya magufuliKwa sasa hakuna kituo kingine cha Mabasi zaidi ya Stendi ya mabasi ya Magufuli. Hivyo lazima utaratibu uheshimiwe.
Viongozi wetu waache kuwa na vigugumizi na uoga katika kusimamia taratibu.
Hukumuelewa mleta mada,sheria haikatazi gari kushusha abiria anapofika kituo chake lakini ipo sheria inataka kila bus kufika pale terminal kwa ajili ya kukaguliwa timetable yake etc na kipindi cha nyuma kidogo wenye magari walikuwa wanakumbushwa kuifuata.Ungekua unakaa Bunju halafu unatokea Arusha via Bagamoyo road usingeandika ulichokiandika.
oooh kama hawafiki kituo kikuu ,basi wanatenda uovu ila abiria wambali wasilazimishwe washukie kituo kikuu kituo kikuuHukumuelewa mleta mada,sheria haikatazi gari kushusha abiria anapofika kituo chake lakini ipo sheria inataka kila bus kufika pale terminal kwa ajili ya kukaguliwa timetable yake etc na kipindi cha nyuma kidogo wenye magari walikuwa wakakumbushwa kuifuata.
Na shida ipo kwa hao hao wanaopita B/moyo Road unakuta abiria anataka ashuke Mbezi lakini wao humtaka ashuke pale Shule (Njia panda ya Goba/Bagamoyo Road) akileta ubishi anapekekwa Shekilango,Riverside au Manzese huko akakodi Bajaj arudi Mbezi.
Huna akili wewe na ujawai kusafiriTabia ya kila basi kupakia na kushusha abiria sehemu yoyote katika Jiji la Dar es Salam imekuwa kwa kasi ya ajabu. Hivi sasa Mabasi yamezagaa katika kila mtaa yanapakia na kushusha abiria waendao na watokao mikoani.
Hali hii imechochea ongezeko la ajali lakini pia usalama umekuwa mdogo sana.
Swali la kujiuliza ni je? Ni lipi haswa lengo la kujengwa stendi ya mabasi ya Magufuli Mbezi?!!!
Wananchi wengi wameanza kulalamika kuibiwa na kutapeliwa kwa mabasi yanayo Pakia abiria maeneo ya Shekilango, manzese, magomeni n.k.
Hakuna usalama, lkini pia mabasi yenyewe hayakaguliwi na wakaguzi wa mabasi yaani vehicle inspectors.
Kama kuna sheria inaruhusu kila basi kupakia na kushusha popote basi sheria hiyo irekebishwe mara moja na LATRA wanao wajibu wa kusimamia na kuhakikosha mabasi yote yanafuata na kutii sheria ya kupakia na kushusha abiria kwenye stendi maalum.
Nimepita maeneo ya shekilango, manzese n.k ni vurugu tupu, mambo yanaenda ovyoovyo!!! Kila basi linajifanyia mambo yake!!! LATRA mko wapi??!
Nawatakia krismas njema.
Yesu Kristu azaliwe kwenye mioyo yetu, tuwe na upendo na huruma kwa binaadamu wenzetu.
Abiria wengine nao wasumbufu tu, si wapande bus zinazopita Kibaha na Morogoro road. Bus za kutoka Arusha, Moshi na Tanga ziko.zinazopita njia ya Kibaha na za Bagamayo, kwa nini wao wapande za Bagamayo wakati wanashukia Magufuli ili warudishwe nyuma tena kuchelewesha abiria wengine.Hukumuelewa mleta mada,sheria haikatazi gari kushusha abiria anapofika kituo chake lakini ipo sheria inataka kila bus kufika pale terminal kwa ajili ya kukaguliwa timetable yake etc na kipindi cha nyuma kidogo wenye magari walikuwa wakakumbushwa kuifuata.
Na shida ipo kwa hao hao wanaopita B/moyo Road unakuta abiria anataka ashuke Mbezi lakini wao humtaka ashuke pale Shule (Njia panda ya Goba/Bagamoyo Road) akileta ubishi anapekekwa Shekilango,Riverside au Manzese huko akakodi Bajaj arudi Mbezi.
.....ipo sheria inayotaka mabasi yakaguliwe time table zao...hii ni sheria ya kupumbavu kabisa,why time table ikaguliwe?,elewa ilitakiwa hizi public vehicles ziwe na roadworthy certificate, dereva awe na PDP permit,sio mambo kama hayo yanayotoa mianya ya rushwaHukumuelewa mleta mada,sheria haikatazi gari kushusha abiria anapofika kituo chake lakini ipo sheria inataka kila bus kufika pale terminal kwa ajili ya kukaguliwa timetable yake etc na kipindi cha nyuma kidogo wenye magari walikuwa wakakumbushwa kuifuata.
Na shida ipo kwa hao hao wanaopita B/moyo Road unakuta abiria anataka ashuke Mbezi lakini wao humtaka ashuke pale Shule (Njia panda ya Goba/Bagamoyo Road) akileta ubishi anapekekwa Shekilango,Riverside au Manzese huko akakodi Bajaj arudi Mbezi.
Stand ya Magufuli pale ndio wamejaa matapeli hao wapiga debe wengi ni matapeli, wanapandishia abiria beiWananchi wengi wameanza kulalamika kuibiwa na kutapeliwa kwa mabasi yanayo Pakia abiria maeneo ya Shekilango, manzese, magomeni n.k.
Hakuna usalama, lkini pia mabasi yenyewe hayakaguliwi na wakaguzi wa mabasi yaani vehicle inspectors.
Mabasi yote yana ofisi stand ya Magufuli, yakishatoka kwenye ofisi zao, yanapitia na pale stand kuu kwenye ofisi zao, maana na hapo kuna kuwaga na abiria wengine wanasubiria kupandia hapoHukumuelewa mleta mada,sheria haikatazi gari kushusha abiria anapofika kituo chake lakini ipo sheria inataka kila bus kufika pale terminal kwa ajili ya kukaguliwa timetable yake etc na kipindi cha nyuma kidogo wenye magari walikuwa wanakumbushwa kuifuata.
Na shida ipo kwa hao hao wanaopita B/moyo Road unakuta abiria anataka ashuke Mbezi lakini wao humtaka ashuke pale Shule (Njia panda ya Goba/Bagamoyo Road) akileta ubishi anapekekwa Shekilango,Riverside au Manzese huko akakodi Bajaj arudi Mbezi.
Sio lazima kufanya umachinga stand kama biashara yako hapo imekataa hamia sokoniTabia ya kila basi kupakia na kushusha abiria sehemu yoyote katika Jiji la Dar es Salam imekuwa kwa kasi ya ajabu. Hivi sasa Mabasi yamezagaa katika kila mtaa yanapakia na kushusha abiria waendao na watokao mikoani.