MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,619
- 21,363
Nasubiri kwa hamu mwenye taarifa zaidi na hii picha
Kuna MCC pia.Jamani kuna cybercrime law
Itakuwa msibaIlikuwa ni nini........?......
Kwakulia kote huko na bado wakamyima ubunge, waathu bwana.Hii ni picha ya Zamani wakati wa maporomoko ya udongo kule Same watu kadhaa wakapoteza maisha wakati wa Mtukufu Jakaya Kikwete
Duh!!!,namuonea huruma jamani.
UPO SAHIHI KABISA 100%.Hii ni picha ya Zamani wakati wa maporomoko ya udongo kule Same watu kadhaa wakapoteza maisha wakati wa Mtukufu Jakaya Kikwete
Le Mutuz yuko kweny pilikapilika za kurudisha ile room ya downtown coz mama kasema hawezi kumlipia tena kodiVipi kuhusu latest pic ya Le Mutuz? MSAGA SUMU
Hawajui, ngoja wenye sheria yao wawakalie kooni.Jamani kuna cybercrime law