Habari wandugu, nimewahi sikia zile rnb za zamani zilizohit ambazo zimepigwa kwa mtindo wa rege, nimejaribu kutafuta mixing zake kwa you tube na google nimezikosa, kuna mtu anaweza nisaidia kuzipata?? natanguliza shukrani
This is from DJ Kyaal, sijui kapotelea wapi MSHENZI huyu. Nahusudu sana kazi zake na quality za music anazotengeneza au tuseme ku-mix. Nasikia tu ni Mswidi.... waliopo Sweden wanaweza kutupa habari zake: