donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
.
Hiyo ilikuwa lunch au dinner, mbona Kama kuna gizagiza usiku?
anunue vyombo mi naona havina ushirikiano.Naaaam. Sasa leo hapa tunakubaliana, naona Sima. Hii ndio food. Sio vile vyakula vya kunasia panya ambavyo huwa unapenda kupost kila mara. 🙂 Alafu ni dhambi kwa Mola kula sima kwa kutumia kijiko.
anunue vyombo mi naona havina ushirikiano.Naaaam. Sasa leo hapa tunakubaliana, naona Sima. Hii ndio food. Sio vile vyakula vya kunasia panya ambavyo huwa unapenda kupost kila mara. 🙂 Alafu ni dhambi kwa Mola kula sima kwa kutumia kijiko.
Watu ambao wameshiba ndio huwa wanaangalia angalia vyombo. Sisi wengine ambao tumekuja kwasababu ya msosi huwa tunangoja kuona Made in China, kuleee chini kwenye sahani. Baada ya hapo ndio sasa tunaanza kuamkua watu. [emoji38][emoji38][emoji38]anunue vyombo mi naona havina ushirikiano.
HahahaDah umenifanya niagize ugal fasta! Bwana misosi upo vizuri kwa hilo dona...
Hahaha, hapana mkuu ni kwaajili ya kusagia pilipiliNaaaam. Sasa leo hapa tunakubaliana, naona Sima. Hii ndio food. Sio vile vyakula vya kunasia panya ambavyo huwa unapenda kupost kila mara. 🙂 Alafu ni dhambi kwa Mola kula sima kwa kutumia kijiko.
Jioni mkuu, sema si unajua Nokia 3230Hiyo itakuwa lunch ya usiku, siyo kwa giza hilo.
Hahaha, poa mkuununua vyombo vizuri basi.mbona meza ipo fresh tu
Karibu mkuu
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Watu ambao wameshiba ndio huwa wanaangalia angalia vyombo. Sisi wengine ambao tumekuja kwasababu ya msosi huwa tunangoja kuona Made in China, kuleee chini kwenye sahani. Alafu ndio sasa tunaanza kuamkua watu. [emoji38][emoji38][emoji38]
Ahahaaa mi mwanamke bna siwezi peleka msosi mezani hvoWatu ambao wameshiba ndio huwa wanaangalia angalia vyombo. Sisi wengine ambao tumekuja kwasababu ya msosi huwa tunangoja kuona Made in China, kuleee chini kwenye sahani. Baada ya hapo ndio sasa tunaanza kuamkua watu. [emoji38][emoji38][emoji38]
Hahaha. 😀 Suffer in silence. Acha sisi tuendelee kujenga mwili. Kuchafua jina sio ishu. [HASHTAG]#TeamBilaAibu[/HASHTAG] [emoji23] Natania.Ahahaaa mi mwanamke bna siwezi peleka msosi mezani hvo