donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Nan kwambia kuna zege hapo chief? Au umecrame yai likikaangwa ivo ni zege? SmhZege la nini hapo Sasa, wanaume wa Dar bila kula zege la mayai ya kisasa hawawezi kabisa.
Huo ugali wa kula mtoto au mtu mzima?
Mkuu mwanaume unakulaje ugali kidogo hivyoUtakua na utapiamlo au marasmas, kama huo ugali unasema ni wa mtoto.
Mkuu mwanaume unakulaje ugali kidogo hivyo
Hiyo idadi ni ya kawaida sana ila ilitakiwa ugali uongezeke kidogo maana naona mboga zinazidi ugaliAngalia idadi ya vyakula vilivyopo hapo.
Mkuu mwanaume unakulaje ugali kidogo hivyo
Hiyo idadi ni ya kawaida sana ila ilitakiwa ugali uongezeke kidogo maana naona mboga zinazidi ugali
We unaona hivyo vyakula vinavirutubisho ?Kula sana sio uanaume, jambo la msingi ni kula vyakula vyenye virutubisho.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu mi nakula kwa kuwa kazi yangu inaniruhusu kula sanaUmezoea kula sufuria nzima? Itakua una pipa tumboni.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu mi nakula kwa kuwa kazi yangu inaniruhusu kula sana
Sasa yai kwa ugali kweli!Nan kwambia kuna zege hapo chief? Au umecrame yai likikaangwa ivo ni zege? Smh
We unaona hivyo vyakula vinavirutubisho ?
Mkuu mi nakaa huku kijijini ukila hako kaugali lazima uulizwe unaumwaaTumbo ndio linaturuhusu kula chakula kingi sio kazi. Kama tumbo lako ni kubwa lazima lipokee chakula kingi.
Sawa mkuu mi hapo naona kama nikila nitachokoza minyooNdio vinavirutubisho protein, wanga, vitamins zote zipo hapo.
Mkuu mi nakaa huku kijijini ukila hako kaugali lazima uulizwe unaumwaa
Si kwamba nina tumbo kubwa ila kazi ya kulima lazima ule chakula cha kutosha
Hapana mkuu ila najua ningekuwa sio mkulima ningekula kama nyinyi tu maana jembe linafanya tule sanaUmewai kwenda jkt? Basi uko ungekua unalala njaa.