What abt you Kenyans selling to Zambia, uganda and Rwanda!?? Tanzania is just one country we still have other country surrounding Kenya !! Why Tanzania ??Oversupply itamaanisha reduction in production ili supply ikutane na demand (graphicaly speaking). Inorder to achieve this inputs lazima zipunguzwe e.g raw milk na ajira zikatwe ili kupunguza running costs ambayo itakua kubwa inrelation to revenue loss itakayo tokana na decline in sales kwenye soko kubwa la Tanzania. So in medium term ajira na soko la wafugaji wakenya lita suffer Magufuli effect [emoji1]. Trust me the negative effect of this scenario will outweight any positive impact you think will come out this.
Prices of milk have almost doubled here in Tanzania.
Ila si karuhusu maziwa hapa juzi au ilikuwa uongoMkiongoza nchi kwa visasi na hasira lazima vyuma vikaze na kilio kiongezeke kwa wananchi.
Wakenya na UhuRuto mnajua mlivyoanza. Mlinunua Tanga Fresh mkaweka stock, huku mkijua kuwa Tanga Fresh huwa ni maziwa yasiyowekea dawa zozote, yaani ni pure milk, mka kaa nayo hadi mlipoona yamekaribia kuharibika mkayatoa kuelekea sokoni, then wakenya wakanunua, kila aliyenunua akakuta yameharibika, UhuRuto na serikali yake wakasema Watanzania wanaleta vitu vilivyo expire, ikabidi Tanga fresh ipigwe marufuku, oryx ikapigwa marufuku pia, mkawahonga baadhi ya watanzania ili Tz iwe soko lenu, ila this time mmepatikana!
Umeongea kama kondoo kumi.Wakenya na UhuRuto mnajua mlivyoanza. Mlinunua Tanga Fresh mkaweka stock, huku mkijua kuwa Tanga Fresh huwa ni maziwa yasiyowekea dawa zozote, yaani ni pure milk, mka kaa nayo hadi mlipoona yamekaribia kuharibika mkayatoa kuelekea sokoni, then wakenya wakanunua, kila aliyenunua akakuta yameharibika, UhuRuto na serikali yake wakasema Watanzania wanaleta vitu vilivyo expire, ikabidi Tanga fresh ipigwe marufuku, oryx ikapigwa marufuku pia, mkawahonga baadhi ya watanzania ili Tz iwe soko lenu, ila this time mmepatikana!
Wakenya na UhuRuto mnajua mlivyoanza. Mlinunua Tanga Fresh mkaweka stock, huku mkijua kuwa Tanga Fresh huwa ni maziwa yasiyowekea dawa zozote, yaani ni pure milk, mka kaa nayo hadi mlipoona yamekaribia kuharibika mkayatoa kuelekea sokoni, then wakenya wakanunua, kila aliyenunua akakuta yameharibika, UhuRuto na serikali yake wakasema Watanzania wanaleta vitu vilivyo expire, ikabidi Tanga fresh ipigwe marufuku, oryx ikapigwa marufuku pia, mkawahonga baadhi ya watanzania ili Tz iwe soko lenu, ila this time mmepatikana!
We have a milk market in the middle East and West Africa that we barely satisfy. You're an idiot if you think losing the Tanzanian market will affect our production.Oversupply itamaanisha reduction in production ili supply ikutane na demand (graphicaly speaking). Inorder to achieve this inputs lazima zipunguzwe e.g raw milk na ajira zikatwe ili kupunguza running costs ambayo itakua kubwa inrelation to revenue loss itakayo tokana na decline in sales kwenye soko kubwa la Tanzania. So in medium term ajira na soko la wafugaji wakenya lita suffer Magufuli effect [emoji1]. Trust me the negative effect of this scenario will outweight any positive impact you think will come out this.
Tanzania kwanza.Kenya nao wamefanya the same kwa Lato milk from UgandaMimi ni Mtanzania ila huu ni upuuzi sio jambo la kuchekelea kwa mwenye akili
Hii East Africa community ina maana gani kama hamuwezi integrate economically ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona hio imekugusa hadi kwa firigisi