Last seen ya Whatsapp ni majanga

mkuu tupo kwenye ulimwengu wa Whatsapp+ ambayo ina feature ya kuhide last seen. nenda tech kule ukachukue

Hivi una amini kuna watu wanalipa 5000-15000 kuwekewa Whatsapp?,
Natumai watasaidika kwa kiasi fulani
 
kilio chako kimesikika! wale wa kumendea last seen imekula kwao. dah, afadhali tutaweza kuwachunia watu flani flani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ