Last night at KFC mikocheni

Heeee
Kumbe Urban Gentlemen Umeooooaa? !
Du
Na kunisumbua kote kule mpaka nikaku block, kweli leo nimekamata mwizi!

Shame on u!
[HASHTAG]#PYTHONWAKIUMEAU?![/HASHTAG]
Mchele mwingi kuku wachache mama tutavimbiwa
 
Hiyo issue itakuwa ilitokea baada ya mimi kuondoka au kabla sijafika... nilipita pande hizo jana, na palikuwa kimya...
Mida ya saa mbili kwenda saa tatu sababu nilitoka mikocheni kwa warioba kwenye saa moja na dakika 42
 
Well thanks for compliment but dead and gone!
 
1 PETRO 3:7
Kadharika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili, na kumpa mke heshima kama chombo kisicho na nguvu, na kama warithi pamoja wa neema ya uzima kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe. Amina.
 
hivi mara ya mwisho kuwa kwenye mahusiano sijui ni lini.sina hata hisia na mwanaume .akili zenu moja .
pole sana...unajiumiza tu...hao sio bure wana fukuto ndani af kidume design kalogwa na mchepuko hahaha .jjust kidding but its a touching story..hjamaa laiteleza sa sijui anapewa nini na mchepuko
 
kalogwa na mchepuko tu huyo si bure
 
Kweli mapenzi ya mjini watu hawana wivu kabisa wanahangalia pesa kwanza
 
Mkuu KFC ya bongo habari nyingine vigumu kujizuia. Nimekula KFC za wazungu lakini ya bongo ni kiboko ni delicious kushinda maelezo. Mara moja moja sio mbaya lakini ukweli Sio nzuri kwa afya kiviiileee!
Delicious kitu gani ..wale kuku wa kupaka? au yele manini...pizza
 
Saa zingine kuna wanawake waki cheat siwashangai Mana waume zao hawajui kubembeleza sas aje akutane na Vijana wabembelezaji mbona anaweza omba talaka
 
hivi mara ya mwisho kuwa kwenye mahusiano sijui ni lini.sina hata hisia na mwanaume .akili zenu moja .
Ukiona hivi ujue una trauma kali sana. Samehe na ujisamehe la sivyo athari yake ni kubwa mno.
 
Heeee
Kumbe Urban Gentlemen Umeooooaa? !
Du
Na kunisumbua kote kule mpaka nikaku block, kweli leo nimekamata mwizi!

Shame on u!
[HASHTAG]#PYTHONWAKIUMEAU?![/HASHTAG]
Duuuuuh!!!!!
Yaani na risala zote hizo na busara kumbe jamaa nae Python!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…