PostGE2025 Larry Madowo: CNN haikualikwa kwenye Mkutano wa Msemaji wa Serikali licha ya kutuma maombi rasmi

PostGE2025 Larry Madowo: CNN haikualikwa kwenye Mkutano wa Msemaji wa Serikali licha ya kutuma maombi rasmi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Serikali ya Tanzania imefanya mkutano wake wa kwanza na waandishi wa habari tangu uchaguzi wenye utata uliofanyika takriban siku 25 zilizopita.

1763978880428.png
Larry Madowo wa CNN ameripoti kuwa mkutano huo ulifanyika baada ya uchunguzi wa CNN kuhusu vifo vilivyotokea wakati wa uchaguzi. Hata hivyo, licha ya CNN kuwasilisha maombi rasmi ya mahojiano na kutoa mawasiliano yao, hawakualikwa kwenye mkutano huo.

1763991899674.png
Mkutano ulifanyika Novemba 23, 2025 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha JNICC, Dar es Salaam, na kurushwa na vyombo vya habari vya ndani.
 
Mpaka sasa hivi sijaona HOJA YA MSINGI YOYOTE ALIYOJIBU MSIGWA KUHUSU YALE MAUAJI zaidi ya kuwashambilia CNN na wengine.
Masuala ya msingi alitakiwa ajibu watu waliouliwa au hawajauliwa.
Kondo Kuna kaburi la halaiki au hamna.ila SI ailivyojibu yeye.
 
Msigwa angekuja na data zinazo kanusha report ya CNN sio maneno matupu, ukituhumiwa kitu unatakiwa kukanusha kwa evidence sio kusema una singiziwa bila supporting document
Shida nini!?.. walisema serikali haitoi ushirikiano,japo msigwa kakataa, lakini sasa serikali imewaita,waende,wakaoneshe na kaburi la halaiki kwa kondo
 
Back
Top Bottom