Lara1 nimeumizwa na mume kipenzi, sasa nakuona kama role model

Ndoa miaka 2imekuchosha??kwani ulikua ukisikia ndoa ni uvumilivu ulikua unaelewa ni kitu gani hasa??au kua uyaone ulidhani ni magorofa??ngoja nikwambie kitu,maisha ya ndoa yana sehem 3.kwanza huwa ni matamu km asali,sehem ya pili ni machungu km shubiri na hapa uvumilivu ukikushinda ndo unafunga virago na kuondoka,lakin mwisho watu huishi kwa mazoea,,yaan nataman ningekujua nikwambie kitu
 
Hivi kuna shida gani na hii tarehe 1st of January 1970? Huyu naye ni new member na kazaliwa tarehe hiyo ni mtu wa tano ndani ya week moja kugundua hili sijui wako wangapi?
Mshana mshana mshana duh!
 
Hivi bado kuna watu wanakurupuka hivi? hebu nenda fb kamsome irene mbowe kule afu uache maigizo. Sasa kuona history (ungeongea na watu wakakueleza all men watch porn!), na majina ya hotels na wanawake ndio cheating? eeh!
Kumbe na wewe mdau kule? tufanye mpango tumpeleke hii sisawa kabisa
 
Salam wadau,

Leo nimebeba mabegi yangu na mtoto na kurudi kwetu ili nijipange,ndoa yangu ya miaka miwili na mtoto mmoja ni ndoa ambayo nilikuwa najivunia kwa watu, mume wangu hana daily zozote za kucheat na hataki nifanye kazi anasema anawivu sana na anataka nizae kila mwaka.

Sasa jana kalala kaaacha simu yake nikaichukua kutumia Google kidogo ndipo nilipofungua history, nilikuta video chafu sana na booking za hotels na marina ya wanawake, naaondoka asubuhi kurudi kwetu ili nijipange kimaisha naona ni kufajana tu kama asemavo Lara1.

Je ungekuwa pahala kwangu ungefanya nini?
Kama Lara ndio role model wako una hasara kubwa sana. Sikushauri lolote
 
Nakumbuka kipindi kile tukamkamata Bujibuji.

Wasamehe mkuu, ni utoto na baadhi ni ugumu wa maisha. Hata mimi kipindi kile nikiwa mtoto nilikuwa napenda kutukana watu humu ila siku hizi ukini-Quote nikikujibu ushukuru Mungu.
Hahahaaaa
 
Ndoa miaka 2imekuchosha??kwani ulikua ukisikia ndoa ni uvumilivu ulikua unaelewa ni kitu gani hasa??au kua uyaone ulidhani ni magorofa??ngoja nikwambie kitu,maisha ya ndoa yana sehem 3.kwanza huwa ni matamu km asali,sehem ya pili ni machungu km shubiri na hapa uvumilivu ukikushinda ndo unafunga virago na kuondoka,lakin mwisho watu huishi kwa mazoea,,yaan nataman ningekujua nikwambie kitu
Kabisa
 
Ndoa ni unafki! Ila ndo hivyooo tunaingiaaa hatutokiiii tunabanana humohumo! We nawe! Umemchoka mumeo?khaaa! Achana na mambo za usingle mother shaulilo ngoja wajanja wambebe mazima!! Unaondokaje kirahisirahisi hivyo labda! ? Loh! Mkunje kwanza tai aseme kwanini kapeleka dushe nje!teh la sivyo utaonekana we ndo mkosaji ohooo!! Muwashe makofi kwanza!! Teh teh teh!
 
Huyo Lara 1 Role model ameolewa? Wake up and use your brain !!!! Do you realy know the meaning of role model???
 
Hizi social networks zinasaidia sana, hasa kupata info mbalimbali. Lakini kuna watu wana influence kubwa kiasi kwamba wanaweza kupotosha wenzao hata kama wapo kuchangamsha genge.

Kuna mtu alisemaga, jf is a jungle, tread carefully!
Hbr ndio hiyo. Akili kichwani kwako na ukumbuke 1+1=11
 
b
Hivi bado kuna watu wanakurupuka hivi? hebu nenda fb kamsome irene mbowe kule afu uache maigizo. Sasa kuona history (ungeongea na watu wakakueleza all men watch porn!), na majina ya hotels na wanawake ndio cheating? eeh!

BIBI LA KUFUJUWAAAA HAHAAHAAAAAAA! Huu uzi sikuuunoa, ngoja nisome kwanza nitatoa WOSIA MI SI NDO MLENGWA HUU UZI.
 
Hiyo ni UNIX epoch. 1st January 1970 00:00:00 GMT.

In computer systems, huwa tunapima na kuhifadhi tarehe na muda kwa timestamp, ambayo ni idadi ya sekunde tangu epoch tajwa hapo juu.

Kwahiyo unapoiona popote in a computer system, maana yake ni kuwa tarehe (timestamp) inayozungumziwa haijawekwa au tarehe ni invalid, au there is a bug hivyo namba 0 ndiyo inahifadhiwa badala ya hiyo timestamp husika. Kwahiyo inapokuja kuwa parsed into tarehe ya kawaida tunayoelewa binadamu inakuwa 1st January 1970.

Ideally haitakiwi kuwa hivi. Watengenezaji wa system husika wanatakiwa kudetect pale ambapo timestamp imekosekana na kuweka neno jingine instead of hiyo default date.

Now you know.

uNAZIDI KUNIINGIA ROHONI WEWE BABA SIJUI KAKA! Too much knowledge is sexy
 
Sasa huyo Lara1 ndio nani, mshauri wa ndoa?, mume mpya ama ni nani?, sijui kwa nini wanawake wanakuwa wepesi sana wa kuwaamini wenzao hata kama wanadanganywa ili mradi wakiona mwenzao ni mjanja mjanja tayari keshaingia king
Usiamini kila kinachoandikwa humu, kuna watu wako tofauti sana na kile wanachokiandika, unaweza kuta mwenzio yuko kwa mume wake wewe unaachika kwa kufata maneno yake ya JF
Usikute huyo Lara1 wa jf anapigwa kila siku na mumewe na bado ameshikilia ndoa yake. Sasa huyu aliyekuja mjini kwa lori la ng'ombe anachukulia mawazo ya jf seriously.
 
Usikute huyo Lara1 wa jf anapigwa kila siku na mumewe na bado ameshikilia ndoa yake. Sasa huyu aliyekuja mjini kwa lori la ng'ombe anachukulia mawazo ya jf seriously.
Umeongea point,huyu msichana mjinga kweli,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom