Salam wadau,
Leo nimebeba mabegi yangu na mtoto na kurudi kwetu ili nijipange,ndoa yangu ya miaka miwili na mtoto mmoja ni ndoa ambayo nilikuwa najivunia kwa watu, mume wangu hana daily zozote za kucheat na hataki nifanye kazi anasema anawivu sana na anataka nizae kila mwaka.
Sasa jana kalala kaaacha simu yake nikaichukua kutumia Google kidogo ndipo nilipofungua history, nilikuta video chafu sana na booking za hotels na marina ya wanawake, naaondoka asubuhi kurudi kwetu ili nijipange kimaisha naona ni kufajana tu kama asemavo Lara1.
Je ungekuwa pahala kwangu ungefanya nini?