Lara 1 - Compilation No.1 - 2012

Kama Matola ni mume wa lara 1 basi huyo ni mume jina tu, hakuna zaidi.

Mwanamke wa kiislamu anapaswa kuwa na hekima kwa wanaume.

Kwani huna meneja wa kukuwakilisha hapa?

Hivi unanijuwa hata nafananaje? au unapingana na serikali ya mswahili mwenzako kupiga marufuku ramli?
 
lara 1

26th June 2012 16:33
#17
​
JF Senior Expert MemberArray


Join Date : 10th June 2012
Posts : 11,729
Rep Power : 344575589
Likes Received13745
Likes Given6892​


[h=2]
Re: wolper/jokate/sintah hawana lolote kamwe hawamkuti wema[/h]

By GP

lara 1 Junior Member


Join Date : 10th June 2012
Posts : 8
Rep Power : 304
Likes Received 4

Likes Given 2


Junior Member

Join Date : 26th June 2012
Posts : 5
Rep Power : 302
Likes Received 0

Likes Given 0




watu hata mwezi hamjaliza mmeanza kuleta umamluki wenu wa facebook, MMETUMWAAA?
aaarrrrggggggggggghhhhhhhh






Usilolijua litakusumbua!!!!!!! Tena sana!!!!!!!!!!!! Kwa taarifa yako mimi ni FAIZA FOXXY NIMERUDI KIVINGINE. ujunior member usikutishe!!!!!!! Nipo humu tangu enzi za jambo forum sema ban tu ndo zinanidogosha​




 
Reactions: SMU
Kweli katubamba wengi namzimikia sana hasa maandishi yake siezi pita bila soma lol
 

Aiseee ...alitisha.
 
Last edited by a moderator:
I looooooooooooooove this akili ya huyu bidada!!
Kati ya watu natamani kushare nao.mlo JF lara upo.kwenye A list!!
Nitakualika siku moja nikuandalie!!
Yani yuko vizuuuuuuri!!

Mi I wish niwaalike mlo wadada wooote wa humu.
Mpo vizuri mno.
 
lara 1 kutokea hapo anajiachia tu, kauoga kaugeni kashamtoka:

[h=2]Kihoro cha the walk of shame!!!!! Anaomba ushauri!!!![/h]Nawasalimu Wakuuu!!!

Kuna mdada tunafanya nae kazi leo kaniomba ushauri, sasa sijui imekuaje ofisi nzima aniombe mie ushauri, au nimekubuhu sana mpaka usoni nimenza kuonesha nini? Mimi humu ofisini mgeni ndo kinanitatiza, huu mda mdogo alioniona keshaniona mrengo wa kushoto!!!?

Back to the topic, ushauri anaoomba ni kuwa yeye wakati wa THE WALK OF SHAME anajistukia sana, kama kabeba puli za bangiii!!!?? Kwa msiojua the walk of shame ni ule wakati umetoka kuvunja amri ya sita na mtu gesti, au getto kwake, sasa ile asubuhi ndo unarudi kwako ule wakati unatoka gesti mkavumkavu, uso wa kibandidu kama uliyofanya huko yote mema, ule muda, mwendo unaotembea na mawazo unayowaza ndo walk of shame yenyewe hiyo! Tena kama ndo umelala hukohuko ukaungia kazini ndo balaaa!

Bi dada akiwa kwenye walk of shame roho inamtokaaa!!, anajistukia huyo!, akipigiwa simu hapokei, anajua labda mpigaji kamuona anatoka gesti!? Basi hii hali inawekera kweli wapenzi wake, mpaka wanamhisi ana mtu mwengine hivo hicho chote kihoro cha kufumaniwa! Afu walaa hata sio muhuni! Hii imesababisha relation zake zisidumu. Hata wewe ungekuwa bwana wake, mmetoka gest, mtu anajikunyata, haachi kuangaza angaza pembeni, nyuma na mbele afu alikwambia yupo single ungepata picha gani?

Tena hana gari, basi The walk of shame kwake inakuwa ndefuuu usipime!, umbali wa gesti zilizojificha mpaka kituo cha basi si mchezo atiii?!? anakondaje!!!.

Mie nikamwambia nipe mda ntakutatulia!!, Ila ukweli mimi binafsi nilipofikia I GOT NO SHAME LEFT AT ALL!!! I have walked the walk of shame mara nyingi, kwa mda mrefu sana na watu wengi sana kiasi hata dhamira imekufa! Nadundika tu toka gesti mpaka kazini nikipiga mluzi wangu freshhh! Sasa sikutaka kumpa ushauri coz kichwa changu nakijua mwenyewe na sikutaka tu ajue huu ukweli, manake atanishushia hadhi ofisini buree!

Sasa nyie maexpart mnao walk the walk of shame kutoka LODGE mpaka kwa WIFE, tena unacheza na wanao kidogo sebuleni, na janaba lako ulilopunguza na shower za lodge, afu unatinga matrimonial room unamwambia wife umemmiso siku nzima!!! nini siri ya ubandidu wenu?????????? Nipeni jibu nikashauri huko, furaha ya mtu iko at stake!!! Wkt wa game mawazo yote yapo kwenye The Walk of Shame!!!

Chanzo: https://www.jamiiforums.com/mahusia...ro-cha-the-walk-of-shame-anaomba-ushauri.html
 
Last edited by a moderator:
inawekera - inawakera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…