Laptop yangu nikiiwasha inaleta ujumbe wa "no bootable devices found"

Laptop yangu nikiiwasha inaleta ujumbe wa "no bootable devices found"

Kuna sababu 2 computer kusema hivyo
1. Ambayo hutokea mara nyingi. Kama umeweka flash au kuna cd kwenye computer toa.

Hii utokana kama sequence ya kuchagua device to boot with ikiwa imewekwa cd ama flash badala ya Hard disk.

2. Program inayotumika kuwasha computer (boot loader) ime corrupt au imefutwa. Solution inahitaji mtaalumu, mwenyewe hutoweza.

Kwa hiyo kwa sasa, angalia kama kuna flash disk ama cd kwenye computer uzitoe na ujaribu kuwasha tena.
Ondoa vitu vyovyote ulivyounga na pc including simu na vifaa vingine.

Then washa na ulete mrejesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
SMS km hiyo haiusiani na external removed devices ok

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavosomeka. Laptop yangu DELL INSPIRON 14-3452 nikiiwasha inaleta huo ujumbe na inanipa options za [ f1 retry boot] [f2 for setup utility] na [f3 to run onboard diagnostics]. Mimi sina ujuzi wa hayo mambo sijui nafix vipi hilo tatizo, kama kuna anayejua anielekeze tatizo ni nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaani hapo ni hard disk haisomi either ipo wrong connected or ishakufa ni ya kubadirishaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bios set up..in a change automatically BT ni Mara chache kwa sababu Fulani uwa inatokea...BT laptop ikileta hiyo text kwa sisi mafundi wa zamani wakongwe first unacheck bios then unacheza na HDD ikizingua unaendelea na mengine hiyo ni first step...pia mtoa mada VP HDD inagonga au hausikii kitu kinagonga ukiwasha laptop?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sisikii mlio wowote wa kugonga nikiwasha laptop

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakuja hivo
20180904_204640.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee baba sorry kwa kuiona late ...!! Inawezekana device ambayo inaboot imeadujust kidogo so Fanya hivi embu fungua hiyo laptop angalia kama hard drive imekaa sawa !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee baba sorry kwa kuiona late ...!! Inawezekana device ambayo inaboot imeadujust kidogo so Fanya hivi embu fungua hiyo laptop angalia kama hard drive imekaa sawa !!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru nimeshafix mwenyewe tatizo. Niliingia kwenye bios kule boot priority nikaweka hdd. Halafu nikaiwasha ikawaka[emoji2]
 
Back
Top Bottom