nipe tenda nije kutengeneza 0719909267Poleni na majukum ya kujenga taifa wakuu.
Nina laptop aina ya packard bell, imekuwa ikijizima mara kwa mara hususani ninapoweka modem na kuingia mtandaoni, cjui tatizo ninini.
Naombeni msaada wenu.
Natanguliza shukrani
Mkuu vipi nina shida na betri ya hiyo laptop yangu imekufa vipi naweza kupata wapi betri zake hizo laptop..Poleni na majukum ya kujenga taifa wakuu.
Nina laptop aina ya packard bell, imekuwa ikijizima mara kwa mara hususani ninapoweka modem na kuingia mtandaoni, cjui tatizo ninini.
Naombeni msaada wenu.
Natanguliza shukrani