chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,730
- 5,013
kuna kipindi niliichokonoa nikatoa sauti nikawa nasikiliza kwenye headphone, baadae nkashindwa kuirejesha nkafikir labda window, nka-instal new window, window 7 ndio hata nikiweka headphone hamna tena kitu, msaada kwa anayejua tafadhali!