Laptop nzuri kwa kijana wangu

Laptop nzuri kwa kijana wangu

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
5,748
Reaction score
7,456
Wadau wazoefu,nina kijana wangu yupo kidato cha 6,nataka nimnunulie laptop kwa ajili ya matumizi yake,nikizingatia kuwa mwakani anaweza kujiunga na chuo kikuu,je ni laptop ipi,yenye uwezo upi nimnunulie?
 
Matumizi ya kusomea pia?

Kwa budget hii fuata ushauri wa hapo juu kusomea ama hata video/image editing kuanzia tafuta intel i5 gen ya 8 minimum, ukitafuta vizuri gen ya 11 pia unapata, ila inabidi utafute sana.
Mkuu nataka ya kuhifadhia data zangu ndogo ndogo tu, emails za kikazi kwa pdf na word
Kazi ngumu labda ni kudownload na kuangalia movies nikiwa mkoa

300k nichukue aina ipi na sifa zake
 
Mkuu nataka ya kuhifadhia data zangu ndogo ndogo tu, emails za kikazi kwa pdf na word
Kazi ngumu labda ni kudownload na kuangalia movies nikiwa mkoa

300k nichukue aina ipi na sifa zake
Hizi kazi zako utafaidika na ssd na ram ya kutosha kuliko hata Cpu. Tafuta to modern laptop gen za karibuni hata kama ni i3 ina kutosha ili ikae na chaji zaidi.
 
Back
Top Bottom