Laptop inayo kaa na charge muda refuse

Laptop inayo kaa na charge muda refuse

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,290
Reaction score
5,769
Wapendwa,
nipo kijijini ambako umeme bado japo kwa speed waliyonayo tunataraji ndani ya mwaka utafika
naomba kujua laptop inayokaa na charge kwa saa Saba na kuendelea na screen size iwe kuanzia 14.5'
Na bei yake tafadhali....
 
Hakuna lptp ya namna hiyo labda uweke oda kiwandani.
 
Yenye screen ya ukubwa huo ningumu kupata ila zile ndogo kabisa atleast zinafika masaa hadi matano na km utakuwa na power packu yake basi unaweza kutumia hata masaa 12.
 
Wapendwa,
nipo kijijini ambako umeme bado japo kwa speed waliyonayo tunataraji ndani ya mwaka utafika
naomba kujua laptop inayokaa na charge kwa saa Saba na kuendelea na screen size iwe kuanzia 14.5'
Na bei yake tafadhali....
ipo inayokaa masaa matatu hapa....kama utahitaji PM, screen kama unayoitaka
 
Hakuna lptp ya namna hiyo labda uweke oda kiwandani.

una uhakika? zipo mpaka za masaa 8 inakuwa imeunganishwa na betri booster lakini bongo sidhani kama zipo.

solution anunuwe na betri ya akiba.
 
Back
Top Bottom