Laptop inasema Consider replacing your battery | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Laptop inasema Consider replacing your battery

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by The Dude, Jun 20, 2012.

 1. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Jamani laptop ikikwambia hivo ndo tatizo linatatuliwaje?Mana inaonesha ka x kwny battery pale chini kulia full time..

  Natumia acer na ina window 7,je tatizo hili hutokea pia kwa aina nyingine?
  yours trully,
  desperate
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Huelewi KIINGELEZA au?? hiyo inamaanisha battery kushneyy nunua mpya ubadirishe
   
 3. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Sitaki kuamini coz haina muda mrefu sana laptop hii ni mpya..anyways,wanauza sh ngapi battery mpya?
   
 4. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  Tatizo muda wote unaiweka kwa umeme kama desktop ndio madhara yake hayo...nenda town kwa wahindi kanunue battery mpya
   
 5. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Duh zinarange sh ngapi bei yake?Na je nikweli inaweza kutokea siku ikazima suddenly na isiwake tena kama sitanunua betri mpya?
   
 6. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Haiwezi kuzima ikiwa utakuwa umeunganisha adaptor na umeme.
  Matumizi ya battery ni kuitumia pale unapokuwa hukuunganisha na umeme, kwa hivyo battery unaweza hata kuitoa na kuunganisha na umeme moja kwa moja na bado ikafanyakazi.

  Na mimi ninayo acer imekumbwa na tatizo hilo hilo, kwa sasa ninaitumia kama desktop kwani siwezi kuitumia pasipo umeme.
  Bei za battery acer mitandaoni zinaanzia na $60 na kuendelea, inategemea acer yako ni series gani na unataka battery ya aina gani.
   
 7. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Battery imekufa kutokana na matumizi yako, inaonekana unatumia laptop ikiwa connected kwenye umeme. Usijidanganye kwenda kununua battery hovyohovyo tafuta authorised dealer ndo ununue kama ukimkosa basi jaribu kuagiza hata nje ili kupata battery imara. Bei sifahamu but haiwezi kuzidi Us $80.
   
 8. baraka607

  baraka607 JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Battery original ni 120000 kkoo kwa duka la jamaa mmoja ivi. Pole kwa msiba pia!

  Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
   
 9. N

  Nyauuu Member

  #9
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Jamani naomba kuuliza inawezekana sielewi vizuri katika ulimwengu wa electronics. Kunauhusiano gani wakuharibika kwa battery ya laptop kwakuchomeka laptop moja kwa moja kwenye umeme. kwa ufahamu wangu mdogo wa umeme hasa kwenye vifaa sensitive kama computers hua kuna circuits zinazo zuia overcharging kwa battery, ninaomba msaada kwamaelezo yakitaalam jaman!
   
Loading...