Laptop inahitajika

supercharger GT

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
1,012
1,955
Wadau natafuta laptop yenye gharama ndogo kwa ajili ya mdogo wangu wa kike! Iwe na hali nzuri kiasi, budget TZS 200,000/=

Ntapata?

Niwekeeni na picha hapa hapa au PM,

Ila Hapa hapa itakuwa vzur maana wengne pia wanaweza pitia huu uzi wakapenda
 
mimi ninauza,hp EliteBook 2530p,Ram yake ni 2gb,hard disk ni gb 200..ina tatizo la betri...sehemu nyingine ipo njema...ukitaka picha yake google tuu mkuu..bei yake ni laki moja na elfu tisini.
 
mimi ninauza,hp EliteBook 2530p,Ram yake ni 2gb,hard disk ni gb 200..ina tatizo la betri...sehemu nyingine ipo njema...ukitaka picha yake google tuu mkuu..bei yake ni laki moja na elfu tisini.
upload_2017-3-4_17-2-28.png

supercharger GT
 
Oi, specification za laptop ni:Ram 4 GBHDD 500 GBProcessor duo core 2.13 ghz Kasoro zake:Haikai na batteryPrice: 250,000/
 
Wadau natafuta laptop yenye gharama ndogo kwa ajili ya mdogo wangu wa kike! Iwe na hali nzuri kiasi, budget TZS 200,000/=

Ntapata?

Niwekeeni na picha hapa hapa au PM,

Ila Hapa hapa itakuwa vzur maana wengne pia wanaweza pitia huu uzi wakapenda
Mkuu mzigo huo hapa una taka 250000
Hard disc 300Gb
Ram 1Gb
Processor 2ghz]
 
Attachments

  • IMG_20170305_130529.jpg
    IMG_20170305_130529.jpg
    53.2 KB · Views: 54
Back
Top Bottom