Msaada;Laptop Inagoma kuunganisha kwa Wi fi

Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,634
26,372
Wakuu habari zenu,
Tangu jana nimeshindwa ku connect Wi fi kwenye Laptop Hp kwani ile button (taa)ya Wi fi kwenye keyboard hata nikibonyeza haibadilishi rangi ili kuwasha Wireless connection,rangi iliyopo ni orange,kawaida hua ukibonyeza inabadili na kuwa nyeupe.
Naombeni msaada wenu nifanye nini.
Asante.
 
Fanya ku Update wireless drivers.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom