Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 13,944
- 17,593
Mwambie comments za watu haitazuia lamu kufanya kazi.Naona ilibidi Mr wivu aende kwenye kwenye comment section ya twitter handle ya KPA asome comments kwa sababu ya maumivu. Naona anafuatilia uzinduzi huu kwa karibu sana.